Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,742
Bangi ina ubaya gani? Hebu tuelezane... Rais mwenyewe kamshauri waziri wake kuwa ili awe anashika matakwimu kibao,data na mazaga zaga awe ana kwesa makambo kwanza.
Yaani awe anavuta bangi then ndo anaenda kuonana na makandarasi ili wakimletea usiku amalizane nao bila kuwaonea aibu.hapo nkasema Kichaa kapewa panga.pasua roho zao.
Yaani awe anavuta bangi then ndo anaenda kuonana na makandarasi ili wakimletea usiku amalizane nao bila kuwaonea aibu.hapo nkasema Kichaa kapewa panga.pasua roho zao.
Mpaka leo hii huwa naenda sehemu nakaa navuta bangi. Natafakari sioni ubaya wake
Huwa najiuliza ubaya wa bangi ni nini? Sipati majibu binafsi navuta halafu naanza kuwaza kwa kina ubaya wake nini? Sioni hata. Naenda navuta tena then nakaa sehemu nawaza ubaya wa bangi ni nini? Sioni Ikiisha kichwani navuta tena then nakaa sehemu najiuliza ubaya wa bangi ni nini?Sioni Sasa...
www.jamiiforums.com