Nashukuru hata Mh Rais sasa ananiunga Mkono. Kale ka kipande ka hotuba nakarudia rudia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,508
23,716
Bangi ina ubaya gani? Hebu tuelezane... Rais mwenyewe kamshauri waziri wake kuwa ili awe anashika matakwimu kibao,data na mazaga zaga awe ana kwesa makambo kwanza.

Yaani awe anavuta bangi then ndo anaenda kuonana na makandarasi ili wakimletea usiku amalizane nao bila kuwaonea aibu.hapo nkasema Kichaa kapewa panga.pasua roho zao.

.....!
Screenshot_2019-04-13-15-03-16.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi ina ubaya gani? Hebu tuelezane... Rais mwenyewe kamshauri waziri wake kuwa ili awe anashika matakwimu kibao,data na mazaga zaga awe ana kwesa makambo kwanza.

Yaani awe anavuta bangi then ndo anaenda kuonana na makandarasi ili wakimletea usiku amalizane nao bila kuwaonea aibu.hapo nkasema Kichaa kapewa panga.pasua roho zao.

ule ni utani kama sehemu ya kuchagiza usikivu kwa wasililiza hotuba. hakuna kiongozi mwenye hadhi ya uwaziri awezaye kupuliza 'jani' ili tu kuraruana na mkandarasi.

mkuu Chizi maarifa, we endelea kuitafuna tu kwa raha zako ika ujue mwisho wako waja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bangi ina ubaya gani? Hebu tuelezane... Rais mwenyewe kamshauri waziri wake kuwa ili awe anashika matakwimu kibao,data na mazaga zaga awe ana kwesa makambo kwanza.

Yaani awe anavuta bangi then ndo anaenda kuonana na makandarasi ili wakimletea usiku amalizane nao bila kuwaonea aibu.hapo nkasema Kichaa kapewa panga.pasua roho zao.

Maneno yale ni ushahidi kuwa Rais "anatafuna hii kitu"!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom