Nashindwa nimuweke kundi lipi!, "penzi maslahi; au mengineyo.

Wadau mimi ninajambo ambalo mwenzenu nashindwa kulifafanua na kulipatia ufumbuzi suala lifuatalo, Nina girl friend wangu anapenda sana kuchukua kitu chochote kizuri atakacho niona nacho, mfano juzi kati kuna cm mpya nilinunua alichokifanya aliomba atumie kwa muda, licha ya kuwa ana cm yake. Tulikubaliana baada ya wiki mmoja airudishe, lakini cha kushangaza kila ninapomuomba hiyo cm hataki kunipa na muda huo huo anaibua ugomvi. Bt nashindwa kumuelewa kabisa kwani kitu chochote anachochukua huwa harudishi nikimwambia anaibua ugomvi. Namthamini sana, na ninajitahidi kumpa kilicho ndani ya uwezo wangu lakini kwa anayonifanyia nashindwa kuelewa lengo lake kwangu. Wakati mwingine ninafikiri kama haniheshimu na mengine mengi. Je hebu toeni mchango wenu wadau kuhusu hili.

Fanya maamuzi magumu.! Jivue gamba uanze mwaka vizuri.
 
Pole mwana lakini kumbua "akipendacho binti...."
 
bora huyo anachukua vitu vyako kuliko angekuwa anachukua kwa wengine then umuone navyo tu
 
I know what you are talking about. Hata mimi nimewahi kuwa na gf wa aina hiyo. Akija getto lazima aondoke na kitu. tshirt zangu, cd za miziki, movie, simu, handcachief ili mradi tu achukue kitu. Nafikiri sio kuchuna per se lakini mabinti wa aina hii, hupenda kutumia vitu vya wenza wao kama njia ya kuwa karibu zaidi. Pia huamini kuwa wewe upo kwa ajili yake na they deserve kutumia vitu vyako kadri wapendavyo kwa kuwa wao nndo malkia. ushauri wangu ni kununua viti viwili viwili pale unapoweza..
 
kaka yangu,sijui mna muda gai ktk mahusiano yenu,lakini nnachojua mie,inaonekana mtu wako ana tamaa,selfish, not considerate.
cha kufanya
1.Tafuta siku nzuri,ukae nae mkiwa mmetulia,umwambie kuwa tabia hizo huzipendi,kwa ustaarabu tu
2.Asipobadilika,fanya kwa vitendo,akiomba simu,usimpe,akichukua kitu flani,mnyan'ganye,ukiendelea hivyo kwa wiki kadhaa,atajua kuwa hupendi.
3.akiendelea na tabia zake za ajabu,then you will have no choice,PIGA CHINI, JUST FOR GOOD, kama ulikuwa na lengo la serious relationship
your REAL PARTNER must be loving,caring and considerate
 
Back
Top Bottom