Jana nimetuma 170000 pamoja na ada ya kutolea. Nimekatwa ada ya kutolea 3650 mpesa ada 1000 na tozo 2530.
Mpokeaji baada ya kutoa (katoa 174000 sababu alikuwa na akiba ya 11000 kabla ya mimi kumtumia) nae kakatwa ada ya kutolea 3650 na tozo 2530. Kwa hiyo ada ya kutolea imekatwa mara mbili.
Nimewapigia vodacom kwa namba 100 lakini sioni namna naweza kuongea nao zaidi wananiambia bonyeza namba ambazo hazina msaada .