Alphonce Kagezi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 327
- 157
Nisikitike kuona Watanzania mnaanza kutunishiana misuli mitandaoni hali hamko face to face je mgeonana safari yenu ibgekuwa salama kweli?
Mauaji ya kimbari na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianza kwa maneno na mwisho kukamiana chuki ikataga mayai ikatotolewa kifaranga aitwae mauaji ya kimbari! Ebu kumbukeni Tanzania ni Moja na watu wake ni wamoja jilindeni kuzikuza tofauti za itikadi ya kisiasa na vinginevyo kila Mtanzania ajilinde kuutumia ulimi wake kwa maneno yatayoweza kutafsiriwa vibaya na maadui zetu .
Nachoamini Tanzania ni moja na watu wake ni wa moja tudumishe hayo mengine ya siasa kila bada ya miaka 5 yakuja na bada ya miezi michache husahaukika bada ya uchaguzi kupita.