Nashindwa kumsahau mpenzi wangu wa zamani, moyo bado wamuhitaji

Mkuu huyu wa mwanzo nilimwmbia hivyo sbabu tulitofautiana mambo fulani, nilikua nina hasira nae halafu bado ananitaka turudiane khali ya kuwa tofauti zetu hakutaka kuniweka wazi.
Mie ndio nikajibu mimi mke wa mtu sitaki mazoea nae, mara zote huniuliza kama kweli nimeolewa na humjibu ndio
Kuhusu huyu mjaji nyumbn yeye ndio anafosi tuoane sababu anasema kachoka kuwa bachela na anahisi mimi ni mtu sahihi kwake

sasa si umrudie huyoex wako alafu uache kumpotezea muda kaka wa watu
 
you are talking about chemistry sisi tunaongelea mwanaume ambae anaenda kukutoa aibu na kulupa heshima ya kuwa mke and soon mama....huo uzungu mwingi utakucost mkuu Mungu akusaidie lakini jua kama huyo jamaa angekupenda kweli angekuoa ila alikuwa mpitaji kwako, sijui kwanini hulioni hili.
Agiza chochote kwa mang ambia yeye ncherry atalipa pesa
Umenena vyema mno kuna wakat unapata kiposongo anaetaka kukupa heshima mbele ya familia bt ww umeng'ang'ania kichwa maji alyekugeuza sex machine kisa tu chemistry
 
Nina ushauri ufuatao:

1. Mtafute umweleze ukweli na umwombe radhi kuwa ulimdanganya
2. Mwambie bado unampenda na unahitaji kuwa nae
3. Jishushe na uonyeshe kujutia kosa ulilofanya
4. Uwe tayari kupokea jibu lolote kutoka kwake, akisema hawezi tena kuwa na wewe muelewe na uheshimu uamuzi
wake

Lengo la kufanya hivyo ni kupata closure ya jambo hili

Kila la heri mkuu usisahau kuleta mrejesho
 
Usiogope mwambie ukweli kuwa bado unamuhitaj, usikubali kuteseka, tatizo huja pale kama na yeye ameshapata mwenza maana 3 yrs sio leo
Nitajaribu kumueleza ukweli na nitakua tayari kwa majibu yyt
Kumpata mtu , hili sina uhakika ila nadhani uhakika nitaupata nikimwambia ukweli
 
Nina ushauri ufuatao:

1. Mtafute umweleze ukweli na umwombe radhi kuwa ulimdanganya
2. Mwambie bado unampenda na unahitaji kuwa nae
3. Jishushe na uonyeshe kujutia kosa ulilofanya
4. Uwe tayari kupokea jibu lolote kutoka kwake, akisema hawezi tena kuwa na wewe muelewe na uheshimu uamuzi
wake

Lengo la kufanya hivyo ni kupata closure ya jambo hili

Kila la heri mkuu usisahau kuleta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru mkuu, mrejesho utakuja usijali
 
Natumai utapata kinachokustahili.
Nimeangalia kwenye kioo changu hapa naona unaenda kuwa single mother soon.
 
Ila ukweli ni kwamba wa kwanza ni wa kwanza tuuu...namkumbuka sana X wangu pia...tulikua tuna match km 96%...ila ushauri wangu usirud tena nyuma
 
Back
Top Bottom