Nashindwa kukadiria pa capita income kwa sasa!

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,371
976
Jamani nisaidieni kudadavua pato la mtu ( pa capita income) kwa sasa maana mmmh, naona maruweruwe! Yaani Tsh 10,000/= kwa sasa unaipata kwa shida ila inayeyuka kama barafu ktk jua. Wataalamu tusaidiane hapa.
 
Back
Top Bottom