Nashindwa kufanya mapenzi, Nikijaribu kuanza uume unasinyaa

Ndio Option rahisi kama we ni mwanamke ambaye unakuwa mama wa nyumbani. Kwa wanaozurura mjini wana option nyingi zaidi ila point inabakia pale pale. You will end up Betraying your man! No matter how rich he is! Given that hawezi kudindisha n kukutoa jasho kitandani.
Haha
 
Hauna tatizo mkuu relax tu. Na hakika una psychological trauma, Kuna kitu chenye experience mbaya kilikutokea huko nyuma kinachohusiana Mambo ya mapenzi.

Hii hutokea Mara nyingi Kama umempania mwanamke siku ya kwanza na ashki zikawa nyingi kupita kiasi na Mara tu unapovuliwa chupi au kuona upaja wa mwanamke Basi ashki hukuzidi na wewe kufika climax na kumwaga shahawa.

Au inawezakana ulikuwa unatamani Sana wanawake na Kisha ukawa unamalizana nao chooni ukiwa alone yaani "puchu".

Hali hii ya wewe kumpania mwanamke sana kwa muda mrefu kutokana na Labda na kumuhusudu sana kutokana na uzuri wake, au wewe kuto kigegeda kwa muda mrefu, au pia wewe kupiga Sana punyeto, hupelekea unapofika ktk tendo halisi na mwanamke kukuvulia nguo basi kutokana na ile hamu basi unamwaga either kabla hata ya kuingiza au baada ya tackle moja.

Nini Cha kufanya?
Kwanza kbs jiambie nafsini kwako kuwa hauna tatizo lolote, yaani hili suala lisikushughulishe Sana (ingawa ni ngumu kiasi fln), sababu Mara nyingi unapopata mwanamke mkiingia tu ndani au hata kabla ya kuingia huwa we mwenyewe unaanza kuji doubt " Daah leo nitaweza kweli, au ndy itajirudia"? hapo tayari umeharibu, ile Hali ya wewe kuwaza hvy tayari hormone zinapokea taarifa hasi (-) na wewe unajikuta unashindwa kigegeda.

Unachotakiwa kufanya, ni kurelax kbs, wala usiwe na haraka kbs ya wewe kigegeda, na ht ikitokea umesimamisha usitake kugegeda muda huo huo wewe endelea kurelax Sana , hapa inabidi upate mwanamke muelewa. Huyo mwanamke akuchezee sana uume mpk usimame sawa sawa, then acha uendelee kuwa firm hvy kwa zaidi ya dakika kadhaa bila ya kufanya attempt yyt. Ukisimama kwa dakika kadhaa ambazo zitazidi zile zako za awali basi akuache usinyae bila kukojoa Kisha muendelee na story.

Baada ya muda aendelee kuchezea tena dushe kwa ufundi wote huku na yeye akiwa hana nguo nawe ukimchezea. mpaka kufika hapo Naamini tayari hormones zako na adrenaline zitakuwa zimerudi normal. Anza kwanza kupenyeza dushe kwa hata kwenye mapaja yake au katikati bya maziwa Kama anayo makubwa huyo mwanamke taratibu piga tackle kadhaa usikojoe au ukijiskia wazungu wanakuja chomoa, make sure una mafuta ya kusaidia kurainisha. Fanya hvy kwa Mara kadhaa mpk pale utakapoona umerelax na huna hofu kbs , huku ukijiambia kimoyomoyo kuwa "I can do this ".

Baadae kwa msaada wa partner wako wkt dushe limesimama aingize kwa K, wewe endelea kurelax hata Kama itafail, na kusinyaa au kumwaga mapema, we endelea kurelax....endelea kufanya hii practice Mara kadhaa kwanza na mwanamke huyohuyo, Kisha utakuja nishukuru siku moja.

NB: Muhimu kujua Hilo tatizo ni la kawaida na linawatokea wanaume wengi, Wala haupo peke yako, wapo wengi humu utakuwa umewasaidia pia kwa kuweka Hilo wazi. Hilo tatizo huondoa kujiamini Sana kwa mwanaume mbele ya KE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni Tatizo la ki Saikolojia kwako dhidi ya mwenzako,kama humpendi itakuwa ngumu Sana kusimama.Kwangu Kuna mwanamke alikuwa hanipendi mimi bila kujua nilimwacha nilipogundua kwani alikuwa hawezi kazi. Hii Kwa wanawake ni kawaida,Kwa Sisi vidume ni nadra au kwa uchache Sana. Tafuta utakaempenda Kwa dhati
 
Ime wahi nitokea, ni stress tu,mpenzi aliniambia kitu ambacho kilinishangaza nikawa hivyo, hamu naye ikaondoka nikisimamisha muda mwingi ilikuwa ina lala ikiwa ndani ya mtambo ,ila nilipo pata mtu mwingine baada ya kuamua kumwacha yule wa mwanzo mambo yakaenda vyema.
 
Back
Top Bottom