Nashindwa kufanya maamuzi ya kwenda kwenye usaili

Mwaka jana baada ya kufanya oral interview ya Tra nikapigwa chini nafasi zilikua 145 nilikata tamaa sana yan zote hzo sikupata

after a month nikaitwa tena interview post 1 watu 300

na nilikua mkoa,,,kimbembe ikawa kwenda watu weng esp family walikua hawana hopes lkn mm hata sijui why nilikua na iman ntatoboa tu as long nisikate tamaa nikawa najiambia ndo mda wa experience

Nilikopa nauli kwa wana nikaenda dar kwenye interview nikapiga pepa oral tukaitwa saba kati ya 300,,so bad ile nafasi aliichukua jamaa flan alikua na masters niliiumia kichz bt mungu si athuman wpte tuliofika oral tukapangiwa kazi baadae

Utumishi usiiangalie kwa jicho la kawaida ww nenda ukiwa kwenye best form yako perfom toboa tu oral wana mtindo wa kutunza watu kwenye database hapo ndo weng wametoboa so nenda kajaribu tu bahat yako all in all ukikosa kuna kauzoefu unakua umekapata
Asante mkuu
 
Naomba kuuliza kwa ambao wameshawahi fanya written utumishi. Ivi maswali yanabase notice za darasan I mean za somo husika au general questions. Ntashukuru nkifahamishwa
 
Naomba kuuliza kwa ambao wameshawahi fanya written utumishi. Ivi maswali yanabase notice za darasan I mean za somo husika au general questions. Ntashukuru nkifahamishwa
Somo/Fani/Kada husika mkuu,ila kwa post ambayo inahusisha zaidi ya kada moja mfano watu wa B.A,Account,BAF hapo lazima utakutana na maswali ya General mkuu.
 
Naomba kuuliza kwa ambao wameshawahi fanya written utumishi. Ivi maswali yanabase notice za darasan I mean za somo husika au general questions. Ntashukuru nkifahamishwa
Written interview huwa haitabiriki mkuu, ila usiache kusoma research jikumbushie
 
Nakushauri

Ikiwa unajua (Tena kikujua kweli kweli) Unachoenda kukifanya Nenda kahudhurie.

Pia hata kama hilo hapo juu huna uhakika nalo,Unaweza kujaribu hili.

Kama unataka kujipatia experience ya Saili za utumishi,Nenda kahudhurie.

Pia kama unauwezo wa kuunguza nauli halafu isikuume nenda kahudhurie mkuu.
 
Naomba kuuliza kwa ambao wameshawahi fanya written utumishi. Ivi maswali yanabase notice za darasan I mean za somo husika au general questions. Ntashukuru nkifahamishwa
Written Mara nyingi ni Mambo general, oral wanagusa field yako moja kwa moja!
 
Nawashukuru wote pia mliochangia kama maswali ya written yanakuwa strictly kwenye somo au general qns. Tusaidiane ushuhuda kwa waliokwisha fanya izo interview wengine ndo Mara yetu ya kwanza
 
Back
Top Bottom