NASHINDWA KUELEWA:Hata wakikubali,bado natumia nguvu wakati wa kuanza majamboz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NASHINDWA KUELEWA:Hata wakikubali,bado natumia nguvu wakati wa kuanza majamboz

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Sep 28, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kwa kweli sielewi kabisa!
  Mtu umeshamtongoza,KAKUBALI.mnaongozana hadi hoteli,au geto ''kupiga mambo yetu yale'',lakini cha ajabu sasa,mnapotaka kuanza ''kupiga mambo yetu yale LAZIMA UTUMIE NGUVU TENA''!

  .........sasa sielewi tatizo huwa nin,na imeshatokea kwa wanawake zaidi ya wawili sasa!hebu wazoefu nipeni somo hapa
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kwa namna ulivyoiweka, wewe ni mbakaji!!!! kwani hutumia nguvu kupata tunda..... Tafuta vitabu usome umuhimu wa proper preparations [foreplay] before sex]
   
 3. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  huo ni ukweli mtupu...
  Mzee mleta mada,we ukifika tumia walau dakika 15 kumuandaa huyo mwezio,mkuu nakuhakikishia km utamgusa maeneo muhimu,yeye mwenyewe atakwambia cho..kaaa...we..kaa....na mengine mengi....
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Mkuu Geoff kwani wewe ukifika ndani ndo waanza kutwanga moja kwa moja au unabembeleza kwanza? hawa wenzetu huwa wanapenda kubembelezwa kila wakati hata kama mmekubaliana nini cha kufanya. isitoshe wengine wana aibu naturally..unless uwe umezoea wale wa Jolly Club?
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahaha!mkuu sio wa jolly
  inawezekana uko sahihi kwamba SIJUI KUBEMBELEZA
   
 6. J

  JackieJoki Member

  #6
  Sep 28, 2009
  Joined: Sep 24, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Nice peace of advive
   
 7. w

  wasp JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu wangu angalia huyo Demu wako asikugeuzie kibao kwa kusema umembaka. Under SOSPA you will be liable for 30 years imprisoment
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hawezi kufanya hivyo... kwa mujibu wa maelezo yake, huyu ana matatizo ya kisaikolojia, anahitaji msaada wa wataalamu katika eneo hilo, ushauri nasaha wala hautamsaidia chochote
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  NIMEMBAKA VIPI wakati ye mwenyewe kakubali bwana?
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  inawezekana ni saikolojoko prblm?
   
 11. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  uzinzi mtaacha lini?
  Amri ya sita: Usizini - The Holy Bible
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Geoff, hata kama amekubali kuingia na wewe ndani haina maana ndiyo amejikabidhi kwako 100%; remember huyo dada anakuwa na rights zake kwa muda wote ambao mtakuwa pamoja hata kama mko katikati ya tendo bado anaweza kusuggest chochote kile ilimradi kiko ndani ya uwezo wenu... sometimes anaweza hata kukataa kuendelea na ikiwa hivyo inabidi uache kuendelea na tendo. ni vigumu ikitokea lakini ndi haki zake... nina imani hata wewe sometimes unaweza kuchukua demu halafu ukaamua kutofanya, au ukaishia katikati... all those are rights and they are equal kwako na kwake!!!

  Nijuavyo mimi, huwa wako very cooperative if you press the right button!
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Heri wewe mwenye moyo na matendo safi!!! hii post yako ipeleke kule jukwaa la dini mazee
   
 14. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Haa haa haaa, maybe alichokubali ni kukusindikiza tu hadi geto, na sio pamoja na hayo mengine :D
  Vp shem, ina maana huwa unataka kupress ile button nyingine iliyo kinyume na maumbile? :D
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  SInkala, umenifanya nicheke sana...
   
 16. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  jaribu kuwa mvulivu na maandalizi mazuri ukimshika hapa na pale sehemu mbali mbali za mwili wake ili kujua wapi ni startegic area yake then atakuachia mwenyewe. Kuna wengine akifika tu anvua kila kitu na analala kusubiri mchezo
   
 17. GP

  GP JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  duh, mkuu ndo yule wa jana??
   
 18. kisale

  kisale Senior Member

  #18
  Sep 28, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kweli kaka wewe huchukui wa Jolly!! vipi wale wa kwa Mtitu, Buffalo na Usangule??
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hahaahahahahahah!hebu ni pm mkulu.
  inaonekana unanifahamu sana
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
   
Loading...