Nashindwa kudumu ktka mahuusiano. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashindwa kudumu ktka mahuusiano.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rashdind, Jul 28, 2011.

1. Rashdind

Rashdind Senior Member

#1
Jul 28, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 195
Likes Received: 34
Trophy Points: 45
Mi nna tatizo ambalo nimekua nalo kwa miaka zaid ya mitano sasa ndo maana nimeamua kuomba msaada kwenu ndugu zangu. Mwenzenu naweza nkawa na mpenz nkampenda sana lkn ghafla tu najikuta cmtak tena na enjoy wale madem nnaokutana nao labda baa ivi au sehemu zingine za bata kwa kifupi yale mahusiano ya muda mfupi ndo kitu nnachopenda hii tabia binafsi naichukia sababu umri na wenyewe unasogea natakiwa kua na mpenz ambae ata tunaweza kujenga family badae lkkn kila nkijaribu kuanzisha uhusiano wapi nadondokea pua naombeni mnisaidie ndugu zangu.

2. 22nd

22nd JF-Expert Member

#2
Jul 28, 2011
Joined: Aug 1, 2010
Messages: 498
Likes Received: 6
Trophy Points: 35
Sehemu unayoishi hamna matangazo ya ukimwi? pole yako, hope unatumia kinga.
anyway,bado hujapata umpendaye, ukimpata utatulia, worry not kijana

3. Ngaliba Dume

Ngaliba Dume JF-Expert Member

#3
Jul 28, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 1,604
Likes Received: 1,716
Trophy Points: 280
Toa hii peleka jukwaa ya mapenz

4. Rashdind

Rashdind Senior Member

#4
Jul 28, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 195
Likes Received: 34
Trophy Points: 45
hakuna sehemu isiyokua na matangazo ya ukimwi we unaish dunia gani? Kwani condom zina kaz gani?

5. RedDevil

RedDevil JF-Expert Member

#5
Jul 28, 2011
Joined: Apr 30, 2009
Messages: 2,287
Likes Received: 903
Trophy Points: 280
Unapenda vile vinavyopatikana kiurahisi! hutaki kubembeleza kwa muda mrefu, Saa nyingine nature ya kazi yako inakufanya ukimbilie pa kupona haraka haraka. Tafuta mwenye sifa unazotaka then anza mchakato naye, kwani ukitumia muda fulani mrefu kumtongoza hadi ukampata roho itakuwa inakuuma kuanza kumtafuta mwingine tena. Kiufupi, badili strategies za kumpata mpenzio, itakusaidia kudumu kwenye mahisiano.

Kuhusu, jaribu kubadili kidogo ratiba yako kama kutenga muda wa kujichanganya sehemu kama za mighahawa maarufu, fanya hata eye/window shopping kila weekend siyo unakaa tu ndani unaangalia movie au bar unavizia vizia hivyo vya kupata kiurahisi.

Fanya pia mazoezi, itakusaidia kuvuta muda wa kumtafuta mpenzio utakayedumu naye.

6. Rashdind

Rashdind Senior Member

#6
Jul 28, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 195
Likes Received: 34
Trophy Points: 45
thanks a lot mkubwa.

7. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#7
Jul 28, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,187
Likes Received: 562
Trophy Points: 280
nafikiri una tatizo moja ambalo ni rahisi sana. Kwa wale wote uliowapenda ulichokuwa unatafuta ni sex tuu na hukuwa na real love kwao. Na ulipopata kile ulichokitaka yaani sex unajikuta hutaki tena kukaa na yule dada kwenye uhusiano. Hao wa baa unakutana nao kwa kuwa tamaa yako ndio inawataka maana unapata kile unachokitaka na huna haja ya kujenga kibanda kwao. So mkuu tulia mpende mwamamke si kwa kuwa unatamani tuu utosheleze tamaa zako za kimwili bali kwa kujenga mahusiano ya mbali. Mpende kama alivyo, jenga tabia ya kuanza kumpenda yeye kwanza na sio kile alicho nacho au unachotarajia kukipata bali ni just the way alivyo na then baadae ndo muuingie kwenye uhusiano wa ndani
tatizo jingine ni kuwa inawezekana unawapata wanawake unaowataka kabla hata uhusiano haujakua unakuwa ushazex nae mara nyingi so wakati uhusiano wako umeshafikia kwenye uhalisia kama uhusiano unakuwa otayari ushamkinai hunmtaki tena. So epuka sana kuwa na mahusiano ya ndani sana wakati wa kuanza kwa relationship na msichana yeyote

8. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#8
Jul 28, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,966
Likes Received: 723
Trophy Points: 280
Sidhani kama huwa unapenda zaidi ya kutamani.

9. Blaki Womani

Blaki Womani JF-Expert Member

#9
Jul 28, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 8,458
Likes Received: 3,708
Trophy Points: 280
Umenena Mr.Rocky

10. Mr Rocky

Mr Rocky JF-Expert Member

#10
Jul 28, 2011
Joined: Oct 10, 2007
Messages: 15,187
Likes Received: 562
Trophy Points: 280
Asante sana Black Woman

11. FiQ

FiQ JF-Expert Member

#11
Jul 28, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 479
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
wewe utakua na pepo tu kijana, Nenda kaombewe!

12. MESSI

MESSI Member

#12
Jul 28, 2011
Joined: Apr 3, 2011
Messages: 40
Likes Received: 2
Trophy Points: 15

kwani hili jukwaa gani mkuu!!!?

13. Rashdind

Rashdind Senior Member

#13
Jul 28, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 195
Likes Received: 34
Trophy Points: 45

binafsi hua najiona napenda na nnajiwekea kabisa malengo kwamba huyu simuachi labda aniache yeye lakini nashindwa labda ungenisaidia tofauti ya kupenda na kutaman coz kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia wanaume wote hua tunataman na kupenda huja baada ya kutamani.

14. Rashdind

Rashdind Senior Member

#14
Jul 28, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 195
Likes Received: 34
Trophy Points: 45

nani alokuongopea kua hua wanaombewa kabla ya kujiombea mwenyewe usikurupuke na kukimbilia kuombewa sawa kijana unatakiwa kuamini kwanza alafu ujiombee mwenyewe kabla ya kuombewa.

15. Perry

Perry JF-Expert Member

#15
Jul 28, 2011
Joined: Feb 24, 2011
Messages: 10,028
Likes Received: 853
Trophy Points: 280
We utakua na majini yanakusumbua mkuu..

16. Mvua Ya Kiangaz

Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

#16
Jul 28, 2011
Joined: May 24, 2011
Messages: 305
Likes Received: 7
Trophy Points: 33

Kutamani ni kuwa na irresistable sexual desires"LUST" wakati kupenda ni kuwa na irresistable caring feelings and attitude:

Kwa hiyo kama unapomuona mwanamke kwa mara ya kwanza tu ukamtamani,maana kutamani hutangulia kupenda,lakini tofauti ya kupenda na kutamani ni kwamba unaweza kumtamani mtu unayempenda lakini huwezi kumpenda mtu unayemtamani(mapenzi hudumu wakati tamaa huisha baada ya muda tu):

Kwa hiyo ukiweza kutambua na kisha kutofautisha kati ya hayo tu,huwezi kuwa na mapenzi ya msimu hata kidogo,kama ukikutana na demu unayempenda unaweza kumfukuzia hata miaka 2 bila kuchoka(maana unakuwa na irresistable caring feelings and attitude) lakini kama akikuzungusha tu ukakata tamaa basi ujue hamna lolote ulikuwa na "LUST"yaani irresistable sexual desires tu:

Na kwa bahati mbaya kupata mwanamke wa kukuzungusha kwa miaka miwili kwa dunia ya leo ni nehi mkuu,isipokuwa mchunguze kwa muda yule unaetaka kuanzisha nae mahusiano,vinginevyo.......................the sun will never set on your side and you will never see it dawning.

17. Matola

Matola JF-Expert Member

#17
Jul 28, 2011
Joined: Oct 18, 2010
Messages: 36,045
Likes Received: 13,260
Trophy Points: 280
Kinga anayo ukimwangalia hawezi kukosa chale kama 200 hivi, nadhani hiyo ni kinga tosha.

18. Rashdind

Rashdind Senior Member

#18
Jul 28, 2011
Joined: Jul 19, 2011
Messages: 195
Likes Received: 34
Trophy Points: 45

acha jokes mzaz this is serious bana.

19. Chilipamwao

Chilipamwao JF-Expert Member

#19
Jul 28, 2011
Joined: Nov 15, 2010
Messages: 514
Likes Received: 14
Trophy Points: 35
ujue una mapepo, unahitaji deliverance

20. tsar

tsar Member

#20
Jul 28, 2011
Joined: Mar 15, 2011
Messages: 75
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Unahitaji maombi

Loading...