Habari wadau, baada ya kushindwa kufungua si yang ya b.berry storm 2/9530 sasa naamua kuiuza, kwenye upande wa.kupiga simu ,kutuma sms kwa kutumia mtandao wowote ipo ok, na ni bado mpya kabisa
.Bei ni laki 4 tu. Maongezi yapo au kama unasimu ambayo tungependa ku exchange tunaweza zungumza pia. Ni PM kama upo intrested. Asanteni