Nashida na notes za environmental health naombeni msaada kwa alizo nazo

Hivi unaelewa maana ya Chuo ? Kila chuo kina mtaala wake na kila mwalimu ana uchanganuzi wake wa maada husika katika huo mtaala, utakunywa matango pori halafu uje hapa uombe msaada baada ya mambo kuwa magumu
 
Kiaje ani sjakuelw bado kaka
 
Kiaje ani sjakuelw bado kaka
Kiufupi ukiwa chuo soma kile anachokufundisha mwalimu, soma vitabu atakavyokuambia usome, hizo notes Environmental Health za Mzumbe, UDSM, SUA etc hazifanani kwa sababu kila chuo kina mtaala wake, na mwenye maamuzi ya mwisho ni mwalimu wa somo husika. Hakuna mtihani wa taifa, mitihani yote inasahihishwa na huyo huyo mwalimu kwa hiyo neo lake ndio sheria. Ndio mfumo wa bongo ulivyo !
 
Asante kaka nmekuelewa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom