Nashauri Zitto apunguziwe majukumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashauri Zitto apunguziwe majukumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Quinine, Jun 2, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,129
  Trophy Points: 280
  Yeye ni..
  • Naibu Katibu Mkuu wa Chama
  • Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC)
  • Mbunge
  • Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni
  • Waziri Kivuli wa Fedha.
  Vyeo vyote hivi kwa mtu mmoja vya nini.

  Haya ni mjukumu mazito sana kwa mtu mmoja kuyatimiza kwa ufanisi hata kama atatimiza ni busara kubaki na cheo kimoja au viwilli ili kuachia vijana wengine nao wajenge vipaji vyao. Chama kiangalie faida na hasara ya kulundika vyeo kwa mtu mmoja kuna siku ambayo haijulikani mtu huyo anaweza asiwepo au akaamua kupumzika siasa au kuhama chama na kuacha pengo ambalo kuzibwa kwake kutachukua muda mrefu.

  Nashauri Zitto abaki na vyeo viwili, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) na Ubunge.

  Nawasilisha.
   
 2. T

  The Priest JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Umenena vema ,lakini navyotazama unaibu kiongozi wa kambi ya upinzani na uwaziri kivuli fedha,sidhani kama ni inshu sana kwa maana kwamba siyo ofisi za kumbana sana,nguvu kubwa ailekeze kwny kujenga chama,kuwatumikia wananchi waliomchagua,na kutufumbua macho namna mashirika ya umma yanavyovurunda na kufuja rasilimali zetu,binafsi naona bado anaweza ku manage.
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mimi si kwamba nasema apunguziwe tu bali anyang'anywe madaraka kwa sababu ameonekana kukisaliti chama, kama wabunge hawamtaki wazee hawamtaki nafikiri hata vijana kina Heche watamtenga kwanini chama kiendelee kumlea eti apunguziwe if i were me kamati kuu ningemsimamisha kazi zote mara moja wakati tuhuma zikichunguzwa.
   
 4. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tuhuma gani weka data hapa no evidence no right to speak
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Tuhuma za Zitto kwani ndogo kwanza ile ya kuwatumia pesa baadhi ya wagombea wa Bavicha unafikiri zitasahaulika.
   
 6. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,orodha ya vyeo ulivyovitaja hamna cha kupunguziwa wala kunyang'anywa naibu katibu amegombea kwa kuthubutu yeye mwenyewe na subiri uchaguzi wa chama okota fomu gombea hicho cheo kama unaona mzigo kwake,waziri kivuri amechaguliwa na chama hawezi kukikataa na unamuona anafiti,mwenyekiti wa kamati kathubutu yeye mwenyewe kugombea bungeni,ubunge pia,kwa matiki cheo kimoja tu cha uwazir kivuli ndio achopewa vyote kapambana yeye mwenyewe wivu unautoa wapi?ushauri wangu popote utakapo sikia zito kagombea nenda kachukue fomu upambane nae na sio kuongea nje ya fence hayo ni majungu na hayatakupeleka popote
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hivi unaibu katibu aligombea na nani na unaibu KUB na unaibu......................duh......
   
 8. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #8
  Jun 2, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tuache majungu ni jukumu gani kati ya hayo manne ambalo ameshindwa kulitekeleza?au kwa sababu anawabana mawazili na watendaji vilaza wa serikali waliopewa vyeo kiushemeji,kiushkaji na kindugu.taja mawazi wa5 ambao wanamfikia kiutendaji.jamaa anaweza kazi.kingine cdm inawatu ambao ni wachapakazi si watu wa kuonyesha vipaji vya uongozi.maonyesho yapo vyama vingine.pamoja
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,129
  Trophy Points: 280
  Umeelewa topic yangu lakini soma tena tatizo anaonekana mbinafsi kujilimbikizia madaraka inaonekana kama hapendi wenzake wawe kama yeye. Busara.
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,924
  Likes Received: 12,129
  Trophy Points: 280
  Mimimhapa siongelei usaliti wa chama naongelea majukumu aliyonayo awaachie na wengine wajifunze kama yeye.
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  huyu mtu naona sio wa kutegemea kwenye mabadiliko tunayotarajia,,nahisi ni mnafiki asiyefaa,,atakuja kutuharibia
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Chadema tunawaambia mapema wasicheke na nyani watakuja vuna mabua kadri wanavyochelea kumchukulia hatua ndivyo anavyozidi kukomaa hata kina Rostam walianza hivi hivi mwisho imekuwa vigumu kuwa chukulia hatua.
   
 13. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  mimi naona mbinafsi ni wewe, kwani una wivu lakini huna uthubutu wa kugombea. subiri chaguzi ugombee, na kwa post za kuteuliwa subiri wateuaji wakiona una sifa na wewe watakuteuwa. Umeulizwa katika vyeo alivyonavyo kuna ambacho ameonesha udhaifu?
   
 14. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Awaachie uongozi wenye chama bana (Wacha-gaaaa).
   
 15. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Kama unamaanisha wengine nao kupata ukomavu wa kisiasa kama yeye basi Mbowe naye amwache dogo agombee Umwenyekiti naye agrow.
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Huyu naona sijui hazisomi alama za nyakati?Zitto si yule tuyemfahamu.
   
 17. k

  kilamunyele Member

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha wivu wa kike ndungu ukiona zitto hafiti nenda hata jimboni ukapambane umsaidie hata nafasi ya ubunge.
   
 18. A

  Alakara Armamasitai Verified User

  #18
  Jun 4, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 415
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  mchaga mamako na babako badala ya kujibu hoja unaleta ukabila ****** we
   
 19. Officer2009

  Officer2009 JF-Expert Member

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Je unajua William Lukuvi ana vyeo vingapi? Hebu fanya research juu ya viongozi wa ccm ndo uongelee wa cdm
   
 20. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  we sijui ukoje. Hoja zako zote,ukichangia unasema 'wivu'. Sijui uko vp,haunaga wazo jipya,ebu angalia michango yako uone!
   
Loading...