Lakini Abstinence na kumrudia mungu wako ni jambo bora kabisa kwetu sote katika kipindi hiki cha mwisho!
NANI ALIKUDANGANYA KUWA CONDOM INAZUWIA MAAMBUKIZI? KAMA HAIZUWII MTU ASIPATE MIMBA, IWEJE IZUWIE MTU ASIAMBUKIZWE HIV VIRUS?
WAJINGA NDIO WALIWAO; NA MTALIWA KWELI KWA UGONJWA HUU
wale wale!Kuna passages nyingi tu kuonesha hii stori ni ya kupika. Chakula kinaweza kuwa 5% , 95 % ni chumvi
By the reporter's calculations, Zawadi would have infected about 4,640 men with HIV in the last three years, at the rate of four me per day. These are men who do not want to use condom, or those who fall victim of Zawadi's buttocks-wriggling tactics.
kwa hali hii zawadi kweli alighafilika sana, lakini sidhani kama ndio njia sahihi aliyochukua kutuua hivyo. kwa sababu nikipiga hesabu hapa naona kama inatakiwa iwe hivi:
4,640!
jibu naona kama nchi nzima kwisha habari yetu!!!!!!!!!!