Nashauri Ukomo wa Maombolezo kwa Kiongozi wa Kitaifa uwe pale tu anapozikwa rasmi ili mambo mengi ya Muhimu yaendelee

Halafu mlikuwa mnataka magufuli atangaze lockdown nchi nzima siku 21 tu unaona nyingi
Watanzania wanafiki sana.
 
Naunga mkono hoja,kipindi hiki cha maombolezo walevi ambao kinywaji hakipandi bila muziki mnene tumeathirika sana yaani tunakunywa kama tupo ukweni
 
Back
Top Bottom