Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

Haya yooote ni bure kama tukiendelea kuwa na TISS mbovu iliyo jaa UVCCM na kama tukiendelea kuwa na mfumo mbovu wa elimu.

Yani hata tukiwa na wizara ya gesi na tukiwa na wizara ya mafuta bado kama hivyo viwili hapo havija rekebishwa workdone itakua equal to ZERO.

Tena zero haswa haswa.
 
Mmh. Mbona wakati Halliburton et al waliibuka vijana wengi walipewa scholarship kwenda kusoma Petroleum engineering....
Nadhani wataalam tayari wapo wa kutosha kuna wataalam waliosomea
Oil and Gas law,
Petroleum Economics and management, petroleum Accounting and finance,
petroleum geology,
petroleum chemistry,
petroleum engineering.
 
Haya yooote ni bure kama tukiendelea kuwa na TISS mbovu iliyo jaa UVCCM na kama tukiendelea kuwa na mfumo mbovu wa elimu.

Yani hata tukiwa na wizara ya gesi na tukiwa na wizara ya mafuta bado kama hivyo viwili hapo havija rekebishwa workdone itakua equal to ZERO.

Tena zero haswa haswa...
Ni lazima watanzania wabadirike, huu sio muda wakuangalia maslahi binafsi bala maslahi ya taifa. Taifa mbele kwanza
 
Nadhani wataalam tayari wapo wa kutosha kuna wataalam waliosomea
Oil and Gas law,
Petroleum Economics and management, petroleum Accounting and finance,
petroleum geology,
petroleum chemistry,
petroleum engineering.
Nakumbuka sana investment ilikuwa kubwa kwa nationals….
 
Ufanisi ktk usimamizi na matumizi ya rasilimali zetu unachagizwa kwanza na uzalendo wa viongozi wetu, na pili umakini, utashi na maono mapana kuhusu rasilimali hizo na si uanzishwaji wa wizara kwa kila jambo. Hata tungekuwa na wizara 100 bila hayo ni kazi bure!
 
Kuna TPDC kazi Yao Ni Nini!?

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni taasisi, wizara ndio yenye nguvu ya kuwasukuma hao wafanye kazi, wizara isipo weka nguvu unadhani watafanya kazi hao, watalala tu. Sekta ipo polepole mno, ingewekewa wizara yake it's, means, waziri wa hiyo wizara angewaza mafuta na gesi kila wakati, na angeulizwa mafuta na gesi kila wakati.
 
Ufanisi ktk usimamizi na matumizi ya rasilimali zetu unachagizwa kwanza na uzalendo wa viongozi wetu, na pili umakini, utashi na maono mapana kuhusu rasilimali hizo na si uanzishwaji wa wizara kwa kila jambo. Hata tungekuwa na wizara 100 bila hayo ni kazi bure!
Mkuu shida ni kwamba hii sekta ipo polepole, na hii inatokana na ukosefu wa uongozi wa kuiharakisha hii sekta. Ipo kama imesimama.
 
Nakumbuka sana investment ilikuwa kubwa kwa nationals….
Yes, shida ni kwamba hii sekta ipo polepole, na hii inatokana na ukosefu wa uongozi wa kuiharakisha hii sekta. Ipo kama imesimama. Waziri wa nishati ana kazi nyingi hasa za uzalishaji na kusambaza umeme hasa vijijini. Kwa hiyo hapo naona pana kamzigo kidogo. Ila ingewekwa nguvu ya wizara ya peke ake inge accelerate maendeleo katika hii sekta. Miaka inazidi kwenda lakini kama bado imesimama tu
 
Mimi naona tatizo sio wizara,, Mbona elimu inawizara ila bado tunalalamikia elimu kila siku..
Kikubwa na cha muhimu ni watu sahihi na mikakati masubuti
 
Mimi naona tatizo sio wizara,, Mbona elimu inawizara ila bado tunalalamikia elimu kila siku..
Kikubwa na cha muhimu ni watu sahihi na mikakati masubuti
Mkuu usilinganishe elimu na gesi na mafuta. Gesi na mafuta ni biashara. Elimu ni public service. Kwenye gesi na mafuta tunaweza kuamua kufanya mapinduzi hata leo tukawa wafanya biashara wakubwa wa gesi na mafuta. Hata leo hii. Ila kwenye elimu tutachukua miaka mingi kufanya mapinduzi
 
Mimi naona tatizo sio wizara,, Mbona elimu inawizara ila bado tunalalamikia elimu kila siku..
Kikubwa na cha muhimu ni watu sahihi na mikakati masubuti
Elimu inahitaji innovation, lakini sekta ya gesi na mafuta inahitaji catalyst ya kui accelerate tu ili ukue kwa kasi.
 
Mkuu usilinganishe elimu na gesi na mafuta. Gesi na mafuta ni biashara. Elimu ni public service. Kwenye gesi na mafuta tunaweza kuamua kufanya mapinduzi hata leo tukawa wafanya biashara wakubwa wa gesi na mafuta. Hata leo hii. Ila kwenye elimu tutachukua miaka mingi kufanya mapinduzi
Alafu sio Kama elimu sio muhimu kuliko gesi Kama unavyo sema... Elimu inasehemu yake kubwa tuu... Elimu ndiyo inafanya watu wafanye mapinduzi ya sayansi na teknolojia... Elimu kwa Afrika kuna namna haiko sawa ndiyo maana unaona development iko nyuma..
 
Back
Top Bottom