Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,315
8,214
Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), uingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas, petroleum products, and liquefied natural gas.

Maeneo muhimu ambayo ningependa hii wizara ihusike nayo ni.
1. Exploration and exploitation of petroleum resources, including natural gas (methane, helium) and crude oil.
2. Production, supply distribution, marketing and pricing of petroleum including natural gas and petroleum products.
3. Oil refineries, including Lube plants and natural gas plants.
4.Natural gas utilization to get valuable products.
5. Additives for petroleum and petroleum products.
6. Lube blending and greases.
7. Planning, development and control of, and assistance to all industries dealt with by the Ministry.
8. All attached or subordinate offices or other organisations concerned with any of the subject specified.
9. Planning, development and regulation of gasfield and oilfield services.
10. Administration of various Central laws relating to Petroleum and Natural Gas.

Ningependa wizara ya nishati ishughurikie mambo ya kuzalisha, kusambaza na kuuza umeme. Ishughurike na uzalishaji wa umeme kutoka vyanzo mbalimbali mfano maji, gesi, joto ardhi, upepo, jua, mawimbi ya bahari n.k.

Huo ndio ushauri wangu,
Ninahisi ikiwa hivi tutaipunguzia wizara ya nishati mzigo, na tutaongeza ufanisi na ukuaji katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

Karibuni kwa maoni.
 
Nadhani hujui muundo na utaratibu wa ufanyaji kazi wa Serikali. Kazi za wizara ni kutunga na kusimamia sera na sheria tu. Execution inafanywa na wakala (Agency), Mashirika (Corporation) au Mamlaka (Authority). So tayari tuna kwenye gas na mafuta tuna TPDC ambayo inafanya kazi hizo zote ulizozitaja.
 
Mafuta na gas haya upstream bado ni sekta changa Tanzania. Unless tuwe tumepata mafuta kweli na gas izalishwe iwe na faida kubwa kuliko ilivyo sasa.

Ila nakubaliana kua ni wazo zuri.
 
Nadhani hujui muundo na utaratibu wa ufanyaji kazi wa Serikali. Kazi za wizara ni kutunga na kusimamia sera na sheria tu. Execution inafanywa na wakala (Agency), Mashirika (Corporation) au Mamlaka (Authority). So tayari tuna kwenye gas na mafuta tuna TPDC ambayo inafanya kazi hizo zote ulizozitaja.
Wizara zitakuwa nyingi mno,,gharama kuziendesha!
 
Naunga mkono kabisa shekh, yani na gamba langu la Diploma in Petroleum and gas management ata sijawai ifanyia kazi, japo watupe fursa yakuifanyia maajabu nchi yetu kwenye iyo sekta.
 
Nadhani hujui muundo na utaratibu wa ufanyaji kazi wa Serikali. Kazi za wizara ni kutunga na kusimamia sera na sheria tu. Execution inafanywa na wakala (Agency), Mashirika (Corporation) au Mamlaka (Authority). So tayari tuna kwenye gas na mafuta tuna TPDC ambayo inafanya kazi hizo zote ulizozitaja.
hapo kwenye kusimamia wewe unadhani wizara ya nishati inasimamia sera ya mafuta na gesi ipasavyo. Huoni kama wizara imeegemea kwenye mambo ya umeme mkuu. Huoni kama sekta ya mafuta na gesi imesimama?
 
Habari za Leo wakuu,
Wakuu nina wazo,

Kutokana na majukumu ambayo wizara ya nishati imepewa kuwa mengi mimi nimekuja na wazo kwamba kungeanzishwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Petroleum and Natural Gas). Mafuta na gesi ni sekta muhimu katika ukuaji wa uchumi duniani. Bila mafuta na gesi hakika nawambieni dunia inasimama.

Nina uhakika tukiwa na wizara hii tutaifanya sekta ya mafuta na gesi kukua na kustawi kwa kasi hapa nchini. Na ufanisi utaongezeka.

Ningependa sana wizara ya nishati ishughurikie mambo ya kuzalisha, kusambaza na kuuza umeme. Ishughurike na uzalishaji wa umeme kutoka vyanzo mbalimbali mfano maji, gesi, joto ardhi, upepo, jua, mawimbi ya bahari n.k. Hivyo kwenye swala la kuzalisha umeme tu wabaki nalo wizara ya nishati.

Huo ndio ushauri wangu,
Ninahisi ikiwa hivi tutaipunguzia wizara ya nishati mzigo, na tutaongeza ufanisi na ukuaji katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

Hivyo basi napenda sana hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), uingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas, petroleum products, and liquefied natural gas.

Maeneo muhimu ambayo ningependa hii wizara ihusike nayo ni.
1. Exploration and exploitation of petroleum resources, including natural gas (methane, helium) and crude oil.
2. Production, supply distribution, marketing and pricing of petroleum including natural gas and petroleum products.
3. Oil refineries, including Lube plants and natural gas plants.
4.Natural gas utilization to get valuable products.
5. Additives for petroleum and petroleum products.
6. Lube blending and greases.
7. Planning, development and control of, and assistance to all industries dealt with by the Ministry.
8. All attached or subordinate offices or other organisations concerned with any of the subject specified.
9. Planning, development and regulation of gasfield and oilfield services.
10. Administration of various Central laws relating to Petroleum and Natural Gas.

Karibuni kwa maoni.
 
Mawazo yote ya kujenga ni muhimu kwa Taifa hili lililoangamizwa na Siasa za kijinga
 
Ndio utaruhusu hizo material zichotwe bulebule kabisa.maana huyo waziri anaunda timu na timu hiyo itatengeneza ujinga milungula itatembezwa kutoka kusikojulikana.
unafikili ni kwanini wizara ya madini mawaziri hawadumu?
huwa wanakutana na nawatu wajanja na wana watumia vibaya, muulize zito. alipokua waziri kivuli alijifanya kukosoa jk alimuingiza kwenye kamati za madini, hakusikiika tena kuongea wala kukosoa. udomo ulipatwa na uzito gafla.

cheza na mambo yoote lakini sio sekta za malighafi kama madini.
 
Mawazo yote ya kujenga ni muhimu kwa Taifa hili lililoangamizwa na Siasa za kijinga
Hii sekta inatakiwa ipewe wizara yake, ili waziri awe anawaza tu mafuta na gesi ndipo tutakapoweza kufikia malengo. Mbona maji yana wizara, mbona uvuvi una wizara. Tunachohitaji ni ukuaji wa kasi wa sekta.
 
Ni fikra nzuri ila kuna hawa wanaiojiita Mataga wanajifanya wajuaji sana,wakati ni Mazezeta wabobezi
 
Back
Top Bottom