- Thread starter
- #21
SHITATA Itakuwa well organized! Na itakuweza kujiendeshaMkuu, kwani hizo manispaa na majii sio ngazi za serikali?
SHITATA Itakuwa well organized! Na itakuweza kujiendeshaMkuu, kwani hizo manispaa na majii sio ngazi za serikali?
Ufanisi ni mbovu sanaKwa nini watu binafsi wasianzishe kampuni ili kujitengenezea ajira? Si ndio fursa zenyewe hizi? Kila kitu serikali!
Manspaa kazi yao kuratibu wakandaras, kwasasa hawana uwezo wa kukabili taka ipasavyoMkuu, kwani hizo manispaa na majii sio ngazi za serikali?