mc gregor
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 1,124
- 2,188
Wewe Ni goigoi wa mwisho hivi wew ukiwa na division one nikupe shule ambayo haina waalimu wa kutosha,Ina mazingira mabovu, mshahara haupandi kwa wakati,Hakuna madarasa ya kutosha,vitabu nk utafaulisha?
We Ni kenge tu huna lolote unalojua umekalisha kijambio nyumban kwako hujui changamoto wanazokutana nazo waalimu k ww
usirudie kukashifu waalimu,ingekuwa waalimu Ni vilaza wangeweza kukufundsha ukajua kusoma na kupost uharo wako humu?
Mm sio mwalimu Ila siwezi dharau mwalimu aliyenifundsha kuandika,na kupata maarifa hadi Leo hii nipo ughaibuni huku nakula ma dolar
Mpuuzi sana ww
View attachment 1024630
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahha mkuu nilijua tu walimu lazima mje kutoa povu.
Nani kakwambia kwamba izo changamoto hatuzijui????
Mimi nasema hivi serikali iache kwanza kupeleka watu waliofeli kwenye ualimu wapeleke best students ndio hizo changamoto nyingine zifwate
Wewe kweli utakuwa ni mwalimu uliefeli hata uelewa wako unaonekana ni mdogo sana.
Hizo changamoto zinajulikana tatizo lenu walimu mnajifanya hamuifahamu changamoto ya nyie kuwa wengi wenu ni failures . Tuanze kwanza na hii izo nyingine zitafuata.
Umeelewa sasa ??? Mwalimu kama wewe ulishindwa kufaulu vyema utaweza vipi kumfanya mtoto akafaulu vyema???
Kuna mtu yoyote kakuuliza kama uko ughaibuni unakula madollar?? Au ndo ushamba wa kikolomije??
Sent from my iPhone using JamiiForums