luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,303
- 8,251
Wewe huna akili kichwanFact unakuta mwalimu badala afundishe yeye anafanya kutafsri tu
Chagua kusuka au kunyoa
1.Darasa Lina watoto 100+ unategemea elimu bora hapo? Private Kuna hii Hali?
2: miundombn ya shule za serikali Ni mibovu mno unakuta shule haina madarasa toshelezi,vyoo nk
Je private hii Hali IPO?
3:waalimu wa serikali inakuta madai yao hayashugulikiw kwa wakati mfano nyongeza,madaraja nk je private hii Hali IPO?
Sasa utafananishaje na private?
Nyie mmekalisha makalio majumban tu hamjui changamoto za waalimu mmebaki kuwabeza tu nawaona kama mazezeta tu
Sent using Jamii Forums mobile app