Nashauri Serikali iajiri Walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza au la pili kwenye vyeti vya elimu ya sekondari(Kidato cha nne na sita)

Fact unakuta mwalimu badala afundishe yeye anafanya kutafsri tu

Chagua kusuka au kunyoa
Wewe huna akili kichwan
1.Darasa Lina watoto 100+ unategemea elimu bora hapo? Private Kuna hii Hali?
2: miundombn ya shule za serikali Ni mibovu mno unakuta shule haina madarasa toshelezi,vyoo nk
Je private hii Hali IPO?
3:waalimu wa serikali inakuta madai yao hayashugulikiw kwa wakati mfano nyongeza,madaraja nk je private hii Hali IPO?
Sasa utafananishaje na private?
Nyie mmekalisha makalio majumban tu hamjui changamoto za waalimu mmebaki kuwabeza tu nawaona kama mazezeta tu
FB_IMG_15490019553761321.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think swala la kufeli sio la walimu peke yake,

mie naona mazingira yanachangia,

boresha mazingira ya shule za serikali utaona matokeo chanya,

boresha maabara,

ongeza vitabu

,punguza kazi za shule kama kilimo

wanafunzi wa concentrate na masomo peke yake.

.utapata positive results

...mimi ni mmoja ya watu nisioamini uwezo wa kiakili ni unarithishwa,

mie naamini MAZINGIRA yakiboreshwa mtoto wa shule za kata ana uwezo sawa na wa Marian Boys...
Haswaa
Sasa unakuta shule ya serikali darasan wanafunz wapo 100+ hivi wataelewa?
Private darasa Lina watoto 20,30 inakuwa rahisi ku handle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule zipi hizo za private zinachukua wanafunzi waliofeli na zinafanya vizuri. Nitajie hata shule moja katika top 50 ambayo inachukua wanafunzi wenye sifa sawa na shule za kata. Hata huko private schools kuna walimu wa division 3 lakini mbona wanafanya fresh.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtoa mada ni.kilaza hajui chochote kuhusu ualimu
Maana huwez fananisha private Ina kila kitu kwanzia waalimu wa kutosha,madarasa safi, miundombn toshelezi,vitabu na limited number ya wanafunz alafu eti utake na serikali ifanye vyema wakati hivyo vitu vilivyo private kwa serikali havipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I agree with you...

Walimu walipaswa huwa na payscale sawa na majudge!

yes walitakiwa walipwe Zaidi...

hii ingewa attract watu makini, wenye uwezo mkubwa kufundisha na wenye uwelewa kubwa,in terms of qualifications,...

sio kama sasa hivi,ualimu ni kwa wale failures ,,,ni kama label vile,ukichukua ualimu inaonyesha Marks zako huko nyuma zilikua kwa mbinde...

yaani katika jamii yetu uwalimu=failure in academic achievement.

we have to change this attitude,

ba tutafanya hivyo pale ambapo walimu watapewa mishahara inayostahili,na pale ambapo Fani ya uwalimu imefanikiwa kuchota walimu ambao wako competent,wana qualifications sawa na profession nyingine kama doctor,lawyer etc

Serikali ibadilishe vigezo vya kuombea uwalimu,waweka tighter system,waliofaulu tu ndio waruhusiwe kufundisha
Hao waliofaulu tu ndio wafundshe vp wakifundsha ndio watafaulisha kwenye shule ambayo haina waalimu wa kutosha,shule ambayo haina vitabu vya kutosha,shule ambayo haina Madarasa toshelezi nk?
Ndio nawashanga hata angeletwa malaika Hakuna kitachobadlika
Huwez niambia mtu afundshe darasa Lina watoto 100+ wengine wamekaa hadi chini alafu wafaulu huo ni muujiza


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hashimu lwenje,

Hoja yako dhaifu sana!! Kuwa na division one na two ndiyo kunakufanya kuwa mwalimu mzuri?

Walimu wote waliokufundisha na kukufaulisha wewe walipata division one na two?

Ukipata divison one na two ndiyo unaweza kufundisha?

Udsm, Sua, Udom, Mzumbe n.k wote wanaosomea ualimu hawajapata division one na two?

Walimu wote wanaofundisha private schools wana divison one na two?

Umeangalia mazingira ya utoaji elimu kati ya private na public schools?

Hizo unazozoiita 'cream' za sayansi zote zilipata division one na two?

Wote wanaosomea kozi zingine ukitoa ualimu walipata division one na two?

Acha dharau na kidivision chako feki ambacho hakina tija yoyote kwa taifa!!!
Nimemchana live huyu mpuuzi
Yaan afananishe mazingira ya private na ya serikali alafu atake wafanane? Huyu mtoa post Ni mpuuzi kiwango Cha lami

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechoka sana baada ya kusoma andiko la mtoa HOJA, nakumbuka mwaka 2004 nilipohitimu kidato cha nne baada ya kutoka matokeo ya kidato cha nne nilienda kuangalia matokeo husika katika shule ya sekondari AZANIA

Kwa wale waliosoma na kahitimu kidato cha nne miaka hiyo watakumbuka mfumo huo wa kuangalia matokeo, tulipofika pale na baada ya kuangalia matokeo kwenye mlango wa kutokea kulikuwa na walimu wanne wa Shule ya FEZA BOYS walikuwa wanauliza umepata division gani kwenye matokeo yako ukiwambia una division three au two walikuwa wana kwambia Kwa heri

Ila kwa wale waliokuwa na division one walikuwa wanachukua information zako na kukuahidi kwamba kuna shule yetu tunataka kuianzisha tunaomba mawasiliano ya mzazi /mlezi wako kwa ahadi ya kusomeshwa bure kwenye shule yao na ni kweli waliwachukua wanafunzi wengi wenye ufaulu wa division one na matokeo ya kidato cha Sita ya mwaka 2007 ambayo ndo yalikuwa ya kwanza kwa shule hiyo yalikuwa mazuri sana na ndiyo yaliyoiweka kwenye RAMANI ya ubora wa shule hiyo, hivyo dhana kusema kwamba shule za PRIVATE inachukua wanafunzi wasio na uwezo sio sahihi kabisa
Umempasha vyema huyo kilaza mtoa post

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo wengi humu ni walimu na wengi wao walikuwa tu vilaza darasani.
Nakumbuka mtu ukiwa kipanga unawaza engineering udaktari law na kozi zingine zenye soko na zinazolipa. Uo ualimu wao ulikuwa wanasoma watu waliozikosa kozi wanazizitaka(failures) mwamko ukivyokuwa mdogo ndo mpaka kikwete akawapa boom burendo maana siku izi kidogo watu wenye akili ila maskini wakikosa kozi zenye mkopo hukimbilia uko.

Inshort walimu wengi ni failures na hakuna failure yoyote anaweza kunfundisha mtoto akaja kuwa kipanga mzuri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe Ni goigoi wa mwisho hivi wew ukiwa na division one nikupe shule ambayo haina waalimu wa kutosha,Ina mazingira mabovu, mshahara haupandi kwa wakati,Hakuna madarasa ya kutosha,vitabu nk utafaulisha?
We Ni kenge tu huna lolote unalojua umekalisha kijambio nyumban kwako hujui changamoto wanazokutana nazo waalimu k ww
usirudie kukashifu waalimu,ingekuwa waalimu Ni vilaza wangeweza kukufundsha ukajua kusoma na kupost uharo wako humu?
Mm sio mwalimu Ila siwezi dharau mwalimu aliyenifundsha kuandika,na kupata maarifa hadi Leo hii nipo ughaibuni huku nakula ma dolar
Mpuuzi sana ww
FB_IMG_15490019553761321.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mtu aliepata div 3 akakimbilia ualimu kisa ugumu wa maisha apate mkopo asilimia mia alizaliwa kutufundishia watoto wetu???

Mkuu uwezo wa kumfundisha mtu lazima uanze kwanza na wewe kuwa unajua unachokifundisha vyema.

Mimi nimesoma hesabu advance nimefundishwa na mwalimu aliekuwa kapata A ya hesabu advance
Cha kwanza alikuwa anatufundisha vizuri sana anakuelekeza concept nzima ya topic
Anatuelekeza vitabu gani vya kusolve na ujanja ujanja wote ili mtu ufaulu uje upate A
Nakumbuka tulikuwa tunampelekea maswali ya tranter anacheka anasema alishawai kukisolve sana anatu solvia maswali vizuri
Physics advance nakumbuka mwalimu wetu alisema yy alipata c yaani alikuwa anatufundisha notsi tu zile rahisi za darasani ukimpelekea maswali hawezi kusolve hakufundishi ujanja wowote na mwisho wa siku alisababisha physics tuione ngumu na kuisoma sana wenyewe na kuamua kujifundisha wenyewe inshort tukikomaa sana wenyewe
Inshort kwa nwanafunzi mwenye malengo ya kufika mbali(kupiga a nk) ni lazima ufundishwe na mwalimu ambae nae alifaulu vizuri. Hawa walimu wetu waliopata div 3 ndo chanzo kikuu cha watoto nao kufeli.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukiwa na mwalimu aliyepata one alafu shule Hakuna waalimu wa kutosha,shule haina madarasa ya kutosha,shule Ina wanafunz wengi darasan nk watafaulu vipi?
Na huyo mwalimu mwenye One ikiwa humpandshi daraja,kurekebisha mshahara kwa wakati unategemea awe na motisha ? Watz kweli Ni mazwazwa
FB_IMG_15490019553761321.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo wengi humu ni walimu na wengi wao walikuwa tu vilaza darasani.
Nakumbuka mtu ukiwa kipanga unawaza engineering udaktari law na kozi zingine zenye soko na zinazolipa. Uo ualimu wao ulikuwa wanasoma watu waliozikosa kozi wanazizitaka(failures) mwamko ukivyokuwa mdogo ndo mpaka kikwete akawapa boom burendo maana siku izi kidogo watu wenye akili ila maskini wakikosa kozi zenye mkopo hukimbilia uko.

Inshort walimu wengi ni failures na hakuna failure yoyote anaweza kunfundisha mtoto akaja kuwa kipanga mzuri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mi namuambia anabisha,sijui anatetea profession yake. Bora umenisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo serikali imeleta mfumo wa wa kuchagua majibu hadi Kwenye Hisabati unategemea huyo mtoto akienda sekonndari nini kitatokea?
 
Mimi ni mwalimu na nina four,mtoa mada umeleta hoja nzuri sana ila hujaelewa kitu kimoja tuu,kwamba kufundisha mtu akaelewa ni karama.Kuna mtu anaeza akakuelekeza kitu ukamwelewa sana kuliko aliesoma na kufaulu haya madivisheni unayosema.pili usilinganishe private na gvt.privt wanakila kitu ili mwanafunz asome yaani ni mwanafunzi ashndwe mwenyewe tuu,ila kwa serikali inakuwa ni ngumu mno.vitabu tuu havijaja shuleni mpka hivi sasa,walimu wachache mashuleni,tukiwezeshwa tutafanya makubwa sana.Kwa sasa inabidi umpime mtu kwa outcome ya elimu yake na sio kwa ufaulu maana kwenye kufaulu na kufeli kuna mengi yanatokea,anaeongoza darasan anaezafeli na wa mwisho akafaulu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Private Kuna watoto wanakaa chumba kimoja 100+?
Private kuna uhaba wa waalimu,vitabu na miundombnu?
Ni zwazwa pekee atafananisha mfumo wa private ku argue waalimu wa serikali
Hata ungeleta malaika kwa mazingira ya shule za serikali Hakuna kitakachobadli Bila serikali kufanya maboresho
Kwanza darasa liwe na wanafunz 45 tu,waalimu wa kutosha,pesa nzuri nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui una umri gani lakini in our days waliosoma private walikuwa waliofeli na ulikuwa mtu kusema anasoma private.....private schools were for failures.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waliofaulu tu ndio wafundshe vp wakifundsha ndio watafaulisha kwenye shule ambayo haina waalimu wa kutosha,shule ambayo haina vitabu vya kutosha,shule ambayo haina Madarasa toshelezi nk?
Ndio nawashanga hata angeletwa malaika Hakuna kitachobadlika
Huwez niambia mtu afundshe darasa Lina watoto 100+ wengine wamekaa hadi chini alafu wafaulu huo ni muujiza


Sent using Jamii Forums mobile app

sijakuelewa mkuu...
 
Back
Top Bottom