BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 338
- 722
Kuna walimu wapo huko ukichukua vyeti vyao na vya mtoa mada hakika utaaibika...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaruhusiwa mkuu. Check qualifications. Wanataka five passes na kuendelea. Haijalish una division ganMbona mwenye division four haruhusiwi kusomea Ualimu level ya Certificate na Diploma.
Kama huamini cheki guidebook ya level ya Diploma na Certificate kwenye kusomea Ualimu
Wanaruhusiwa mkuu. Check qualifications. Wanataka five passes na kuendelea. Haijalish una division gan
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaruhusiwa mkuu. Check qualifications. Wanataka five passes na kuendelea. Haijalish una division gan
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe ni kada zingine sio Ualimu,pekua upate ushahidi sio kukisia
Nitakupa list ya vyuo wanavyofanya hivyo. Si uwongo. Akiwa na cheti na hizo marks o level anaingia diploma. Kuna vyuo vinafanya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekani kwa Diploma in Education.(Lazima one hadi three).Nitakupa list ya vyuo wanavyofanya hivyo. Si uwongo. Akiwa na cheti na hizo marks o level anaingia diploma. Kuna vyuo vinafanya hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah ni shida kwelikweliWalimu wanao fundisha walipata dv 4 alafu tunataka wanafunzi wapate dv 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado na stress za nyumbani na mtaani, kufaulu pia ni kaziI think swala la kufeli sio la walimu peke yake,
mie naona mazingira yanachangia,
boresha mazingira ya shule za serikali utaona matokeo chanya,
boresha maabara,
ongeza vitabu
,punguza kazi za shule kama kilimo
wanafunzi wa concentrate na masomo peke yake.
.utapata positive results
...mimi ni mmoja ya watu nisioamini uwezo wa kiakili ni unarithishwa,
mie naamini MAZINGIRA yakiboreshwa mtoto wa shule za kata ana uwezo sawa na wa Marian Boys...
Wanajiitaga walimu wa sayansi na namnaNdugu, wewe unayesema ukipewa wanafunzi uwafundishe hawatopata "F" haujui kuandika kwa ufasaha, umerudia kuandika kimakosa neno "faulu" kwa kuliandika "fauru", ziada umerudia kuvunja neno moja na ukatoa mawili mara kadhaa " nae ongea" badala ya "ninayeongea" (wanapo fundishwa=wanapofundishwa), na umeunganisha maneno mawili kutengeneza moja "kwasababu" badala ya "kwa sababu"..
Hayo ni kwa uchache sana, hivyo basi wewe nawe yakustahiki kuwa katika hilo kundi la walimu wasio na weledi na kwa ukweli mweupe na mweusi wewe haustahili kuwa mwalimu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata maslahi yakiongezwa tatizo litabaki kuwa stereotyping, walimu wanachukuliwa kama watu waliofeli ila walimu waliopata I & II wapo wengi tuI agree with you...
Walimu walipaswa huwa na payscale sawa na majudge!
yes walitakiwa walipwe Zaidi...
hii ingewa attract watu makini, wenye uwezo mkubwa kufundisha na wenye uwelewa kubwa,in terms of qualifications,...
sio kama sasa hivi,ualimu ni kwa wale failures ,,,ni kama label vile,ukichukua ualimu inaonyesha Marks zako huko nyuma zilikua kwa mbinde...
yaani katika jamii yetu uwalimu=failure in academic achievement.
we have to change this attitude,
ba tutafanya hivyo pale ambapo walimu watapewa mishahara inayostahili,na pale ambapo Fani ya uwalimu imefanikiwa kuchota walimu ambao wako competent,wana qualifications sawa na profession nyingine kama doctor,lawyer etc
Serikali ibadilishe vigezo vya kuombea uwalimu,waweka tighter system,waliofaulu tu ndio waruhusiwe kufundisha