Nashauri ruzuku kwa vyama vya siasa iongezwe (atleast doubled) (especially during election years) na auditing practices ziwe improved

Hicho kitu kitasababisha bad manner and out point decimation ambayo italeta mis sold out of the game that why unaona tupo so cool and muted sawa
 
Hiyo ruzuku yenyewe bora ingefutwa tu,pesa ikaelekezwa kwenye mambo ya msingi zaidi.

Imegeuka chanzo cha migogoro tu na kuzalisha akina Nkurunzinza kwenye vyama.
 
Kuongeza ruzuku itapunguza the need for EPAs, IPTLs, Tegeta Escrows etc.
 
vi- SACCOS vinapata tabu sana kufanya zoezi la kidemokrasia la kuchaguana kutoka na ukata wa fedha. Mkiambiwa CCM hamuiwezi mnasema tunalengo la kuua upinzani
 
Ili kupunguza election related corruption
Naheshimu mawazo yako, mimi nilishauri ruzuku kwa vyama vya siasa, ifutwe, ni ufisadi.


P
 
Naungana na wewe ,2010-2015 CCM ilikuwa inapokea zaidi ya billion ila jpm alikuta 50mil tu

Ufisadi wa ruzuku hauna cha upinzani wala ccm
Naheshimu mawazo yako, mimi nilishauri ruzuku kwa vyama vya siasa, ifutwe, ni ufisadi.


P
 
Back
Top Bottom