Wajitegemee,Mimi nashauri ifutwe kabisa!
Naheshimu mawazo yako, mimi nilishauri ruzuku kwa vyama vya siasa, ifutwe, ni ufisadi.Ili kupunguza election related corruption
Naheshimu mawazo yako, mimi nilishauri ruzuku kwa vyama vya siasa, ifutwe, ni ufisadi.
Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi
Wanabodi, Kuna hii kauli ya "asiyefanya kazi na asile". Jee siasa nayo ni kazi ya kustahili mshahara kwa jina la ruzuku kwa vyama vya siasa? . Ruzuku hii iendelee kuwepo watu waendelee kuitafuna au ifutwe? . Japo sijafanya utafiti wa ni nchi ngapi zinagawa ruzuku kwa vyama vya siasa lakini kwa...www.jamiiforums.com
P