Nashauri Peter Kibatala achaguliwe kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Habari wana jamvi,Poleni na misukosuko ya Jumamosi

Kutokana na kadhia inayotukuta sisi watanzania kushindwa katika kesi mbalimbali za kitaifa na kimataifa hususani Serikali yetu na kulipa fedha nyingi mfano kukamatwa kwa ndege yetu ya Air bus huko Afrika Kusini naomba nimshauri Rais wangu kama itampendeza kumteua Peter Kibatala kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Naimani yeye ni mwanasheria nguli nani aibu kama taifa kurusu akili kubwa ziwe zinazurura barabarani naimani kuwa Serikali ilitumia raslimali fedha katika kuwapa elimu hawa vijana Serikali iwatumie ni ushauri tu kama itakupendeza mhe Rais

Kibatala hatakiwi maana hawezi kujipendekeza, wanatakiwa watu wanaoweza kujipendekeza na wanaomini katika ushirikina uitwao mwenge.
 
Kwa hali ilivyo sasa unayempenda usimuombee kuwa mteule wa awamu hii, maana unaweza ukajikuta umekuwa sehemu ya kujibu maswali magumu siku zijazo
Habari wana jamvi,Poleni na misukosuko ya Jumamosi

Kutokana na kadhia inayotukuta sisi watanzania kushindwa katika kesi mbalimbali za kitaifa na kimataifa hususani Serikali yetu na kulipa fedha nyingi mfano kukamatwa kwa ndege yetu ya Air bus huko Afrika Kusini naomba nimshauri Rais wangu kama itampendeza kumteua Peter Kibatala kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Naimani yeye ni mwanasheria nguli nani aibu kama taifa kurusu akili kubwa ziwe zinazurura barabarani naimani kuwa Serikali ilitumia raslimali fedha katika kuwapa elimu hawa vijana Serikali iwatumie ni ushauri tu kama itakupendeza mhe Rais
 
PK anaonekana yuko vzr sabab kesi nyingi anazoendesha huwa ziko winning side.

Kwa hiyo hoja anazotoa lazima zimuoneshe kama mtu genious sana kumbe kawaida tuu.

Kwa mfano ukimchukua ukampeleka kwenye hii kesi ya ndege yetu SA ataonekana kichwa panzi sababu atakuwa anatetea loosing side.

Mbona simple calculation san hii umeshindwaje kuielewa?
Don't u ever experience the expected loosing side become winner?
Kesi haushindi tu KWA sababu uko upande UPI, mahakama inaamua kutokana na hoja sio mabunio hivyo upande ynaoweza kutoa hoja za kushinda upande mwingine ndiye uibuka mshindi,
Km unaona no rahisi tukupe wewe kesi ya mbowe au lisu ukashinde au ya Bob wangwe tuuone uwezo wako wa kutengeneza hoja bdla ya mashair ya jf
 
Wasichokitambua watu wengi ni hiki mara nyingi maamuzi ya serikali hua hayafuati sheria wala utaratibu iliojiwekea yenyewe yaani hata Tundu Lissu akiwa Mwanasheria wa Serikali lazina atageuka kituko sababu maamuzi mengi yanafanya kwa kufuata mihemuko, misingi ya kisiasa na kuonea watu...
 
Habari wana jamvi,Poleni na misukosuko ya Jumamosi

Kutokana na kadhia inayotukuta sisi watanzania kushindwa katika kesi mbalimbali za kitaifa na kimataifa hususani Serikali yetu na kulipa fedha nyingi mfano kukamatwa kwa ndege yetu ya Air bus huko Afrika Kusini naomba nimshauri Rais wangu kama itampendeza kumteua Peter Kibatala kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Naimani yeye ni mwanasheria nguli nani aibu kama taifa kurusu akili kubwa ziwe zinazurura barabarani naimani kuwa Serikali ilitumia raslimali fedha katika kuwapa elimu hawa vijana Serikali iwatumie ni ushauri tu kama itakupendeza mhe Rais
Kuna tatizo la msingi lazima tulijue.

Mimi naamini hata hao tunaowacheka waweza kuwa akina Kibatala wengine kama wangekuwa mawakili binafsi.

Hao wa serikalini wanalazimishwa na maamuzi ya kisiasa yasiyo na msingi wa kisheria. Wanaamuliwa kushitaki au kutetea utumbo ulioamriwa kisiasa. Tuwaonee huruma.

Wanaenda kortini kama kondoo anayeenda kuchinjwa wakijua kabisa wanaenda kushindwa.
Wafanyeje na mfalme keshasema iwe hivyo?
Katika mazingira hayo, hata Kibatala ataonekama bogus
 
Habari wana jamvi,Poleni na misukosuko ya Jumamosi

Kutokana na kadhia inayotukuta sisi watanzania kushindwa katika kesi mbalimbali za kitaifa na kimataifa hususani Serikali yetu na kulipa fedha nyingi mfano kukamatwa kwa ndege yetu ya Air bus huko Afrika Kusini naomba nimshauri Rais wangu kama itampendeza kumteua Peter Kibatala kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Naimani yeye ni mwanasheria nguli nani aibu kama taifa kurusu akili kubwa ziwe zinazurura barabarani naimani kuwa Serikali ilitumia raslimali fedha katika kuwapa elimu hawa vijana Serikali iwatumie ni ushauri tu kama itakupendeza mhe Rais
Kwanza Ungeanza kumfikiria mtokamate alivokuwa wakati ananjaa anadai katiba mpya na sasa alivyo usingewaza hayo uliyotapika hapa
 
Habari wana jamvi,Poleni na misukosuko ya Jumamosi
Kutokana na kadhia inayotukuta sisi watanzania kushindwa katika kesi mbalimbali za kitaifa na kimataifa hususani Serikali yetu na kulipa fedha nyingi mfano kukamatwa kwa ndege yetu ya Air bus huko Afrika Kusini naomba nimshauri Rais wangu kama itampendeza kumteua Peter Kibatala kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Naimani yeye ni mwanasheria nguli nani aibu kama taifa kurusu akili kubwa ziwe zinazurura barabarani naimani kuwa Serikali ilitumia raslimali fedha katika kuwapa elimu hawa vijana Serikali iwatumie ni ushauri tu kama itakupendeza mhe Rais
Hawezi kukubali kwani kutampotezea uwezo wa kufikiri.
 
Umeongea pointi sana mkuu. Watu huwa hawaangalii nje ya mfumo. Na hapo ndipo penye tatizo letu. Hata hawajiulizi kwa nini mtu akiingia kwenye system anabadilika hata kama hapo kabla alikuwa mwanaharakati na mzalendo wa kupigiwa mfano namna gani. Ni vigumu sana kuongea huku ukiwa na bonge la nyama mdomoni. Subiri sasa hata yule msomali wa Tabora kama utamsikia tena. Ni wakati wake wa kufakamia keki ya taifa...kimya kimya....

Ndiyo maana mimi huwezi kunikuta nashabikia mwanasiasa/kiongozi. Nguvu zetu inabidi tuzielekeze kwenye kuimarisha mifumo yetu na kujenga taasisi imara na huru. Hii ya kutegemea mtu mmoja mmoja ni kiinimacho tu na kwa nchi hii hata aje nani kama mifumo na miundo ya taasisi zetu ni ile ile mimi naamini mambo ni yale yale tu. Hakuna kitakachobadilika !!!
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom