Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,053
Hii mifuko inakata hela kubwa za watumishi, NHIF ipo kimya kabisa kwenye janga hili la corona. Wapeni wateja wenu japo barakoa kumi kumi. Naamini inawezekana. Umuhimu wa BIMA ni kwenye majanga Kama haya. Mkiwasaidia wanufaika mtaisaidia jamii mzima.
CWT nyie mnatengeneza ma t shirts na kofia na kugawa kwa wateja wenu may mosi. Sherehe za may mosi zimefutwa!! Gaweni barakoa 20 na Sanitizer 10 kwa kila mwalimu mnayemkata pesa yake. Mnakata hela nyingi Sana kwa wateja wenu, na mpo kimya kwenye janga la corona.
Hali kadhalika, TUGHE na wengine ambao sijawaorodhedha, nchi ipo vitani, Rostam Azizi ni mdogo zaidi ya Nyie, mbona kafanya makubwa?
Nyie mnashindwa nini tena mna fedha za wananchi zinazoingia kwenye akaunti zenu bila kuzitolea jasho Kama anavyozitolea Jasho Rostam?!?
Sent using Jamii Forums mobile app