MWANA WA UFALME
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 578
- 144
Tatizo lililoikumba nec achilia mbali kuwa ni wakala wa ccm, pia kuna tatizo la integrity ya hao viongozi. Nashauri hata kukiwa na tume huru iweze kuwa na uwakilishi wa viongozi wa dini katika ngazi mbali mbali.