Nashauri Mugumu Serengeti International airport ihamishwe km 50 kaskazini magharibi ya sehemu ambayo ilikuwa planned.
Iwe na terminal ya kawaida (kama ya Songwe airport). Isiwe na terminal kubwa sana.
Runway iwe ya lami, na urefu wake uwe around 3.8 kms.
Hii ita ondoa athari za hii airport kwenye mbuga ya Serengeti. Kwa sababu itakuwa nje kabisa ya mbuga hiyo.
Na itakuwa rahisi kwa serikali kuijenga hii airport bila kupata upinzani kutoka kwa wana mazingira wa ndani na nje ya nchi.
Airport hii iki kamilika itasaidia sekta ya utalii.
Airport hii pia itasaidia kwenye mambo ya ulinzi na usalama.