Nashauri mtoto huyu wampeleke kwa watumishi wa Mungu akaombewe anaweza kupona!

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,323
6,848
Source:Mtoto wa miaka sita awa polisi Marekani

Mtoto wa miaka sita awa polisi Marekani

Mtoto huyu anaumwa kansa na anatarajiwa kufariki siku si nyingi kuanzia sasa

Huyu mtoto nashauri wampeleke kwa watumishi wa Mungu akaombewe, anaweza kupona. Natamani watumishi wa Mungu wanaoefanana na Mwalimu Mwakasege walioko huko akutane na mtoto huyu
 
Back
Top Bottom