Nashauri mjadala wa kuchangia kifungu kwa kifungu hii miswada ya madini iwe live

gogo la shamba

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
6,670
2,165
Ndugu wana JF mimi napendekeza itakapofika wakati wa kujadili kifungu kwa kifungu hii miswaada iliyoletwa kwa hati ya dharura na serikali iwe live bungeni maana wasiwasi wa watanzania wengi ni kwamba huenda utapitishwa kwa wingi tu,wa wabunge wa CCM bila kuwa na maslahi ya nchi kama alivyosema Polepole, na kama Raisi wetu anataka kwa dhati kweli ijadiliwe kwa faida yetu watanzania aliambie bunge liweke mijadala hii live maana yeye akisema hakuna atakaepinga,kama alivyosema maonyesho waongeze muda wakaongeza
 
Back
Top Bottom