Nashauri mechi za bure za Yanga zichezwe uwanja wa mafuriko Kaunda

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,251
Napenda kuishauri Serikali Na TFF waache kuiruhusu klabu ya Yanga kuutumia uwanja wa Taifa kuchechezea mechi za bure kwani washabiki wake huanzisha vurugu na kuharibu uwanja.

Tukio la Jumanne kati ya Yanga na TP Mazembe tumeshuhudia uzio ukivunjwa na Yanga wanagoma kulipa.Kuna wakati mashabiki wa klabu ya Simba walivunja viti lakini walilipa.

Tunaishauri Serikali na TFF wasirudie tena kuiruhusu klabu ya Yanga kuchezea uwanja wa Taufa bure na kama inataka bure basi wakachezee kwenye uwanja wao wa Mafuriko wa Kaunda.
 
....watalipa tu,wala sio jambo la kubishana, kama timu mwenyeji lazima uhusike!, kufungwa mfungwe,mashabiki na makelele yote hamna kitu!!
 
Naunga mkono hoja, lakini huu ushauri sijui utafika vipi Malinzi siku hizi haingii humu anaogopa wadau wamamkandamiza maswali sana.
 
Back
Top Bottom