Nashauri Maraisi wasaini mikataba inayoishia na ukomo wao wa uraisi

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,894
Kwa jinsi tulivyoona athari za kusaini mikataba mirefu.mi nashauri kila raisi atakaeingia madarakani basi akiingia mkataba usiwe na muda mrefu kuliko ukomo wake wa kutumikia kama raisi. Ili raisi mwingine akija kama atapenda kuendeleza mkataba huo badi nae atasaini ila hautozidi muda ukomo wa ursisi wake.

Nasema hivo kwa maana unakuta raisi ana vipindi 2 lakini anadaini mikataba mibovu ya miaka 50. Ambayo inaendelea kuwepo hata yeye akistaafu. Mfano kama tungekuwa tunatumia staili hiyo basi magufuli ilimbidi wakati anaingia madarakani aamue ksms IPTL, Acasia, diamond waendelee ns mikataba au lah.

Najua ni wazo non sense. Lakini ni afadhali mara 1000000.

Changieni mawazo basi
 
hiyo ni nzuri hasa ukilinganisha na jinsi mambo yanavyoendelea hususan hapa kwetu na nchi nyingine kusini mwa jangwa la sahara.
 
tunatakiwa kuwa na OPEN ONLINE DATABASE yenye Mikataba yote ya Mali zetu...
Hivyo ndivyo wanafanya watu wanaokwepa lawana baada ya kustaafu wasisumbuliwe na kila raia asiwe na mashaka na biashara za rasilimali za nchi yake hasa madini na mafuta.

Mfano hawa ni waafrika wenzetu wamefanya hayo Kwa nini Sisi Tuzunguke na Kushutumiana?
Join the fight against extreme poverty
http://www.contratsminiersguinee.org/(Huu hapa)
 
Back
Top Bottom