Nashauri Maraisi wasaini mikataba inayoishia na ukomo wao wa uraisi

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
961
1,000
Kwa jinsi tulivyoona athari za kusaini mikataba mirefu.mi nashauri kila raisi atakaeingia madarakani basi akiingia mkataba usiwe na muda mrefu kuliko ukomo wake wa kutumikia kama raisi. Ili raisi mwingine akija kama atapenda kuendeleza mkataba huo badi nae atasaini ila hautozidi muda ukomo wa ursisi wake.

Nasema hivo kwa maana unakuta raisi ana vipindi 2 lakini anadaini mikataba mibovu ya miaka 50. Ambayo inaendelea kuwepo hata yeye akistaafu. Mfano kama tungekuwa tunatumia staili hiyo basi magufuli ilimbidi wakati anaingia madarakani aamue ksms IPTL, Acasia, diamond waendelee ns mikataba au lah.

Najua ni wazo non sense. Lakini ni afadhali mara 1000000.

Changieni mawazo basi
 

body contact

Senior Member
Jul 28, 2015
112
225
hiyo ni nzuri hasa ukilinganisha na jinsi mambo yanavyoendelea hususan hapa kwetu na nchi nyingine kusini mwa jangwa la sahara.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom