The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Anajisahaulisha kwa waliyotutendea Makonda, Ali Hapi na Sabaya... Hata maasikari vijana wamekuwa so brutal ukilinganisha na wazee.Vijana ndio hopeless kabisa

Vijana mukipewa vyeo tu munaanza kututukana na kutudharau.Tunaenda mbele, au tunarudi tulikotoka? Vijana maelfu wanaohitimu vyuo kila mwaka hamwaoni!?