Nashauri kuwe na NHIF Premium Card, itakayo gharimu 3 million shillings per household

z12f

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
638
460
Nashauri kuwe na NHIF Premium Card, itakayo gharimu 3 million shillings per household. Hii NHIF Premium Card ita toa more benefits than the current standard card.

NHIF Premium Card itawasaidia wale wanaoenda kutibiwa hospitali nzuri za ndani na nje ya nchi kwa muda mrefu.

Watu wa namna hii (hususan wazee) mara nyingi hawapati msaada kutoka bima binafsi. Kwa hiyo wakati mwingine wanalazimika kuuza sehemu ya mali zao ili kutibiwa nje.

Au wanatumia hela za serikali kama wana vyeo vya juu serikalini. So NHIF Premium Card itawasaidia watu kama hawa. I hope socially optimal actuarial calculations hazita go against payment ya 3 million shillings kwa watu kama hao.

Since NHIF is a public scheme socially optimal calculations ndio ziko relevant na sio commercially optimal calculations (as long as mfuko haupati hasara).

Kadi ya kawaida ya sasa ya NHIF ina gharimu 1.5 million shillings per household. Kadi hii iendelee kuwepo kwa bei hiyo hiyo.

So NHIF iwe na kadi hizi mbili.

Hii itasaidia sana, na nashauri mchakato uanze mapema.
 
Cha muhimu kwanza ni kulipa kwa wakati. Hospital kubwa , nzuri za kisasa zinawakwepa sababu ya usumbufu wa malipo.
Sure inaboa sana...plus some of best brand za dawa hupewi unaambiwa bima hairuhusu chukua hii ya Shellys ya Tz....tena hapo Dr awe muelewa , mwungine hakuambii kuhofia kuwaharibia unapewa dawa la kikohozi hata mfuniko haufungi ukishafungua kisa NHIF hawataki expensive!
 
Watu wenye uwezo na viongozi ndio watatumia hiyo NHIF Premier card. Hii ita iwezesha NHIF kuwa na hela za kusaidia watu wa kawaida.

Kwa sasa watu wenye uwezo wana tumia bima za private, ambazo ni ghali kwa wazee na wakati mwingine hazi hudumii wazee walio fikisha umri fulani, kwa sababu ni ghali kibiashara kuhudumia wazee hao, hata kama baadhi yao wanaweza kulipia bima.
 
Imebidi niangalie jina la muanzisha mada mara mbilimbili.
Anyway! Nawatakia kila la heri waliofika uchumi wa kati.

Watu wa kawaida wanaweza kumchangia mpendwa wao anaeumwa waka mnunulia hii kadi.
 
Nashauri kuwe na NHIF Premium Card, itakayo gharimu 3 million shillings per household. Hii NHIF Premium Card ita toa more benefits than the current standard card.

NHIF Premium Card itawasaidia wale wanaoenda kutibiwa hospitali nzuri za ndani na nje ya nchi kwa muda mrefu.

Watu wa namna hii (hususan wazee) mara nyingi hawapati msaada kutoka bima binafsi. Kwa hiyo wakati mwingine wanalazimika kuuza sehemu ya mali zao ili kutibiwa nje.

Au wanatumia hela za serikali kama wana vyeo vya juu serikalini. So NHIF Premium Card itawasaidia watu kama hawa. I hope socially optimal actuarial calculations hazita go against payment ya 3 million shillings kwa watu kama hao.

Since NHIF is a public scheme socially optimal calculations ndio ziko relevant na sio commercially optimal calculations (as long as mfuko haupati hasara).

Kadi ya kawaida ya sasa ya NHIF ina gharimu 1.5 million shillings per household. Kadi hii iendelee kuwepo kwa bei hiyo hiyo.

So NHIF iwe na kadi hizi mbili.

Hii itasaidia sana, na nashauri mchakato uanze mapema.
Kwa tararifa yako hiyo PREMIUM NHIF card ipo na wanatibiwa hospital za maana. Rudia tena uchunguzi wako.
 
Watu wataiweza kweli hiyo ya 3million...

Usiangalie tu kwa wale wanachangiwa, angalia pia kwa wale wanaojichangia...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom