Nashauri kujenga hii kwenye Junction ya New Bagamoyo road na Nelson Mandela road

zxcvbnm

Member
Sep 20, 2018
68
97
Straight to point

Junction tajwa hapo juu iko sehemu ambapo barabara ya new bagamoyo road iko kwenye mkakati wa kupanuliwa na sote tujuavyo ubungo junction nayo iko katika heka heka za kumalizika.

Kwa wanao tumia barabara hizo wanajua foleni ambayo inakuwepo wakati wa kutoka Tegeta na kwenda Mjini majira ya asubuh na vice versa majira ya jioni.

Hii design ambayo itaruhusu magar yanayo tembea kwenye New Bagamoyo road yatakuwa yanapitia kwa chini na yanayotokea ubungo yana kuwa yanaelekezwa kwa juu.

Eneo la hio junction inatosheleza kabisa kujenga underpass ya nature hio.
images.jpeg
 
Marekebisho: nadhani umemaanisha makutano ya New Bagamoyo road na Sam Nujoma road. Sam Nujoma inaanzia Ubungo kwenye junction (temporary roundabout) hadi kwenye taa za kuongoza magari pale Mwenge. Mandela road inaanzia Ubungo kwenye temporary roundabout hadi kwenye taa za kuongoza magari Uhasibu kule, baada ya kupita Uwanja wa Taifa.
 
Naomba mods wanirekebeshie apo, Asante sana ilonga
 
Kwa hiyo unataka wabadilishe ramani? Je wahisani Jica watakubali?
 
Marekebisho: nadhani umemaanisha makutano ya New Bagamoyo road na Sam Nujoma road. Sam Nujoma inaanzia Ubungo kwenye junction (temporary roundabout) hadi kwenye taa za kuongoza magari pale Mwenge. Mandela road inaanzia Ubungo kwenye temporary roundabout hadi kwenye taa za kuongoza magari Uhasibu kule, baada ya kupita Uwanja wa Taifa.
Mandela road inashia Mfugale flyover (tazara) , kuanzia tazara mpk uhasibu ni pugu road.
 
Kutoka uhasibu (mandela rd.) Ukiendekea. Ile barabara inayoenda kurasini inaitwaje?

Kwenye masahihisho Umesema mandela r. Inaenda mpka uhasibu"
 
Straight to point

Junction tajwa hapo juu iko sehemu ambapo barabara ya new bagamoyo road iko kwenye mkakati wa kupanuliwa na sote tujuavyo ubungo junction nayo iko katika heka heka za kumalizika.

Kwa wanao tumia barabara hizo wanajua foleni ambayo inakuwepo wakati wa kutoka Tegeta na kwenda Mjini majira ya asubuh na vice versa majira ya jioni.

Hii design ambayo itaruhusu magar yanayo tembea kwenye New Bagamoyo road yatakuwa yanapitia kwa chini na yanayotokea ubungo yana kuwa yanaelekezwa kwa juu.

Eneo la hio junction inatosheleza kabisa kujenga underpass ya nature hio.View attachment 1243678
Pale daraja tuu kama lile la mfugale linatosha kabisa kutoka mjini kwenda tegeta.

Kurahisisha ungesema tuu ni makutano ya mwenge.
 
Bro ninavojua pugu rd inaanzia mbele ya mataa ya akiba kabla hujafika kwenye makutano ya iliokuwa sheraton, inapita mnazi mmja, kamata, tazara, goms mpaka pugu.

Hiyo barabara unayoisema kuanzia tazara hadi uhasibu inaitwa mandela, sio pugu rd! Sijui umetokea wapi!!!
Mandela road inashia Mfugale flyover (tazara) , kuanzia tazara mpk uhasibu ni pugu road.
 
Pugu Riad na Nyerere Road ni Barabara moja?
Bro ninavojua pugu rd inaanzia mbele ya mataa ya akiba kabla hujafika kwenye makutano ya iliokuwa sheraton, inapita mnazi mmja, kamata, tazara, goms mpaka pugu.

Hiyo barabara unayoisema kuanzia tazara hadi uhasibu inaitwa mandela, sio pugu rd! Sijui umetokea wapi!!!
 
Naam umefikiria vyema
Idea yake nzuri ila haiwezi fanya kazi due to miundombinu yetu mibovu
Hiyo design haitafaa Dar inatuamisha maji. Utatengeneza bwawa hapo Mfugale penyewe si unapaona ikinyesha mvua na ipo Juu
 
Kutoka uhasibu (mandela rd.) Ukiendekea. Ile barabara inayoenda kurasini inaitwaje?

Kwenye masahihisho Umesema mandela r. Inaenda mpka uhasibu"
Kile kipande baada ya taa za Uhasibu nilikuwa sijui kinaitwaje, ila Google Map inaonesha bado ni Mandela road inaendelea.
 
Bro ninavojua pugu rd inaanzia mbele ya mataa ya akiba kabla hujafika kwenye makutano ya iliokuwa sheraton, inapita mnazi mmja, kamata, tazara, goms mpaka pugu.

Hiyo barabara unayoisema kuanzia tazara hadi uhasibu inaitwa mandela, sio pugu rd! Sijui umetokea wapi!!!
Kuanzia Morocco hadi mataa ya Sheraton (zamani) ile ni Ally Hassan Mwinyi road. Baada ya mataa, inaanza Bibi Titi Mohamed street ambayo inaenda hadi mataa ya Mnazi mmoja kupita Akiba. Pale Mnazi Mmoja kwenye mataa, inaanza Nkurumah street hadi mataa ya Kamata (Gold Star). Baada ya mataa, inaanza Nyerere road (zamani Pugu), hadi Pugu huko.
 
Pale Mfugale hapajaekwa logical drainage system kusema kweli ndo maana maji ya twama. Zile drainage zilipaswa kuwa na angle nzuri kwa ajili ya maji kutiririka kutoka pale yalipo.

Kwa hio design apo juu ukiweka drainage nzuri ya maji nina uhakika hamna maji hayato twama.
 
Mtoa mada na hoja yake imepotezwa kwa kutojua kwake njia za mjini Dar es salaam.
Anatakiwa ajue njia na aurekebishe aende kwenye edit ili michango ianze kuonekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom