Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,373
Huo upuuzi wa viti maalum ndo ungefutwa haraka kabisa huku tukipanga mabadiliko mengine.Mimi nashauri special seats ziondolewe
tubaki na wa majimbo...
Huo upuuzi wa viti maalum ndo ungefutwa haraka kabisa huku tukipanga mabadiliko mengine.Mimi nashauri special seats ziondolewe
tubaki na wa majimbo...
Sasa hawa walio wengi mbona hatuoni faida,,bungeni ni kama wameenda kupiga soga tuSawa kama unataka kuua mhimili wa bunge, Watanunuliwa kirahisi sana na watawala,kwa uchache wao watapewa bei ambayo hawawezi kukataa
Ila nimesema ^idadi isiyozidi 100^Hawa pia wengi mkuu.
Mkuu wa mkoa ndo awe mbunge huyo...
Kila mwana Jeiefu aisome hiiMkuu suala la wabunge lifutwe kabisa asiwepo mbunge yeyote.
Utashangaa...