Nashauri Kikwete amwachie Dr Salim Ahmed Salim kipindi kilichobaki

Jun 9, 2011
92
53
Kutokana na kuchemka vibaya kwa rais Jakaya Kikwete katika kipindi chake cha kwanza na tangu aanze kipindi cha pili naomba nitoe ushauri wa bure kwa Kikwete anaonaje hii miaka minne iliyobaki amwachie Dr Salim Ahmed Salim hii itamfanya kujijengea heshima kwa kuwajibika mfano anaweza kumteua Salim kuwa makamu wa rais kisha yeye akajiuzulu hivyo Makamu wake salim kukamata madaraka ya nchi wallahi kikwete akilifanya hili labda kidogo ccm itapata hata majimbo ishirini na kura za urais angalau robo mwaka 2015 maana tuache utani jamani Dr salimi jembe la ukweli hata kama yuko kwenye chama cha magamba
 
Marehemu professor Horoub Othman aliwahi kusema kuwa kilichofanyika ndani ya ccm ni mapinduzi ya kidemokrasia kufuatia kuteuliwa kwa kikwete kuwa mgombea wa ccm 2005 sasa ccm warudi kwenye maandiko ya msomi huyu wakachimbe kwanza kabla hawajachukua uamuzi wowote
 
Mkuu mbona mkokoteni umetangulia punda! Nani atamvuta mwenzake? nilidhani angalau ungelipendekeza kwanza katiba hifanyiwe marekebisho ili kuwezesha hayo unayoyataka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom