Ni after all mkuuAsa ulitaka pale wapite na laptop after low hakuna mbinu ya kivita wameonyesha pale
Hayo ni maonyesho tu siyo reality..maonyesho ya askari kujibamiza na matofali ni UJINGA.
Hayo ni maonyesho tu siyo reality
Ni kama maonyesho mengine mengine mfano karate, mieleka nk
InatishaShalom from Jerusalem,
Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.
Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.
Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.
Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.
Nawatakia siku njema.
View attachment 2079415
Ni moja kati ya ulemavu wetu Watanzania. Kila kitu tunajua sisi kisa tunaweza kusoma novels. Jacks of all trades but masters of none sometimes.Watanzania vile wajuaji wa kila kitu.
urEdit: "Pretend to be weak when ur stronger and stronger when ur weak....."
So you saying Tanzania ina strong army while ina pretend to be weak, wrong assumption so far broNa wewe nenda kasome " the art of war" by Sun Tzu.
"Pretend to be weak when ur stronger and stronger when ur weak so that u will make ur enemies to focus on the tree instead of the whole forest." Sun Tzu
Mabeyo yupo Sahihi kuliko unavyo weza kufikiri..
Huyo Paul Scharre ni kabulyage
But even with a disability, you can work in a civilian role in the military. A federal mandate states that all U.S. Military bases must have 10% of their civilian workforce composed of individuals with disabilities, Matthew W. Dietz
Kirahisi tu eti unampa General Mabeyo kitabu akasome kisa maonyesho ya maigizo acha hizi! Vibweka gizani!😀😀Shalom from Jerusalem,
Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu na mabavu. Hii kwa wengi nadhani imepitwa na wakati kwa sababu vita ya sasa inahitaji teknolojia ya hali ya juu na wanajeshi wanaotumia akili zaidi kuliko mabavu.
Hatuhitaji tena mwanadamu mwenye mabavu kushinda vita bali matumizi ya technolojia ili kubaini mahali alipo adui, kumtageti na kumshambulia bila hata wewe mwenyewe kuwepo eneo la mashambulizi.
Kizazi hiki ni cha vita vya autonomous weapons hivyo sasa umefika wakati jeshi letu watuoneshe mbinu za aina hiyo na si kubeba magunia kama walivyozoea kufanya.
Namshauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu hiki "Army of None: Autonomous Weapons and the Future of War" cha Paul Scharre kitamsaidia kuja na mbinu mpya za kivita na kutuonesha ni namna gani wamejipanga kuzitumia.
Nawatakia siku njema.
View attachment 2079415
Hayo makorokoro yote yanatakiwa kubebwa na gari sio binadamu kuchoshana tu
Kabisa,haimeki sense kujidai kwa silaha za wengineKumbebesha mwanajeshi magogo,begi,mtungi wa gesi ni jeshi la kishamba.Pia Ni hatari kwa afya ya mgongo wa mwanajeshi.
Jeshi letu lijikite kwenye tekinolojia,maonesho ya siku ya uhuru yahusishe silaha na vifaa ambavyo jeshi letu litakuwa limetengeneza hayo ndiyo maendeleo na vitu vya kujivunia siyo siku ya Uhuru unaonyesha ndege,silaha na vifaa vilivyotengenezwa na jeshi la China au Ujerumani.
Watake radhi mkuu!..wanapasua matofali.
..wanavunja nondo.
..halafu kukitokea ajali [ kama ile ya ukerewe] wanashindwa kuokoa wananchi.
Picha ya mwaka 1967😀😀😀😀
Nilitegemea askari mmoja kubeba maiti nne lakini cha ajabu maiti moja imebebwa na askari wanneWatake radhi mkuu!
Hiyo ni kazi ya Polisi.
Walioibua MV Nyerere iliyozama kati ya Ukerewe na Ukara Septemba 20, 2018 ni nani kama siyo Marine Commandos wa TPDF Navy Division?
Taswira zote kwa hisani ya google
View attachment 2079602
View attachment 2079587
Combatant TPDF Navy servicemen in rescue mission in Ukerewe-Ukara Islands September 20, 2018.
View attachment 2079603
TPDF-Navy-led mission to bring afloat the sunken MV Nyerere September 20, 2018. Chadema walimsusia JPM (joke! joke! joke!)
Si mmesema hawatakiwi mitulinga badala yake teknolojia. hahahaaa....Nilitegemea askari mmoja kubeba maiti nne lakini cha ajabu maiti moja imebebwa na askari wanne
Hii ni law number ngapiNa wewe nenda kasome " the art of war" by Sun Tzu.