Kwakuwa halikuwekwa wazi (hatulijui) basi hatuwezi kulizungumza maana hatuna ushahidi nao!Unajua kua JPM alimtaka Mwinyi awe makamo wake ? ..ila kwakua Zanzibar hawakuitaj waongozwe na Ke na kuzingatia Hakubariki kwao , ikaamuliwa Aendelee kua makamo wake ??..na mwinyi aende zanzibar .
Hahahahahahah Tz bwana baada ya kuleta wazo la kujenga uchuma wetu wewe unaanza mambo ua SURANashauri itengezwa hela yenye sura ya Rais Samia, sababu itachukua miaka hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu
Wafuasi wa dikteta hameni Nchi Kama vipiKama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.
Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??
Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.
NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".
SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA WAZIWAZI)
historia ya Rais wa Zanzibar unaijua??! Ukiacha kuwa waziri,je alikuwa na Siasa za matukio!?Kama akili za watanzania ndizo zinawaza hivi.. BORA TOZO IRUDI 100%.
Hivi kua mwanamke ni kigezo cha kua Rais??
Haya basi tuache hilo...NI WAPI, LINI, KATIKA MAISHA YA SAMIA SULUHU, ALIWAH KUA MWANAMKE IMARA HODARI MCHAPAKAZI ,IWE KISIASA AU KIUTENDAJI TU ALIKOPITIA.
NA WATU WAKAMSEMA " HUYU MAMA TUMEPATA".
SIBORA HATA AKINA UMMY, DOROTHY GWAJIMA ( AMBAYE HISTORIA YAKE KAMA DAKTARI INAJIELEZA WAZIWAZI)
Nyi simlikuwa mnataka tuweke picha ya dikteta kwenye notiSiku hizi JF imekuwa ni uwanja maarufu sana wa wajinga wa kufanya maonyesho ya kuonyesha ujinga wao.So sad!
Hapana, itachukua Tena miaka mingi kupata bahati ya kuongozwa na Rais mwanamke mwenye hekima,busara na utuUnamanisha anaboronga ndio maana itachukua 50 yrs?
nikweli, ndio hivyo tuwaenzi Marais wetu ambao wameonyesha Nia yakutufikisha kwenye Nchi ya maziwa na asali, hususani Rais wa Sasa,Tuna safari ndefu sana. Nadhani kuna shida mahali katika elimu yetu
Kuna kiongozi aliyetenda mambo makubwa nchi hii yasowezekana yakawezekana ??historia ya Rais wa Zanzibar unaijua??! Ukiacha kuwa waziri,je alikuwa na Siasa za matukio!?
Hata Samia ana historia nzuri tu, hila kwakuwa wewe Ni msukule wa dikteta huwezi kujua kitu,
Aliyekuambia uongozi Ni historia Nani!?? Magufuli alikuwa na histolia nzuri kwenye uwaziri, kwenye nafasi ya Urais akaboronga na kupendelea kwao kanda ya ziwa na kuua democracy na uhuru wa kujieleza, na matukio mengi ya hovyo
Hili Ni kosa kubwa Sana baada ya kuchagua viongozi wenye vision na mission tunachagua watu wapumbavu kwa sababu tu ya umaarufu mwisho wa siku uwezo wake wa kufikiria na kujenga hoja ndo umefikia hapo.Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,
nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,
#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Huenda isijetokea tena kabisa.Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,
nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,
#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Tena extremely ovyo!!!Raisi wa hovyo kuwahi kutokea
Si wanatwa hao?Siku hizi JF imekuwa ni uwanja maarufu sana wa wajinga wa kufanya maonyesho ya kuonyesha ujinga wao.So sad!
Nani anatembea na hela? Wakati miamala ya mpesa ipoNashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana,
nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili,
#Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Basi iwekwe picha ya marehemu dikteta, mungu wenuHiyo sura yake uyo mzururaji itatusaidia nini?