Nashauri Elimu ya Uvumilivu hasa wa Kimapenzi (Kimahusiano) kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama iwe ni lazima

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa la kumjeruhi mwanaume mwenzake kwa kitu chenye ncha kali anayejulikana kwa jina la Andrew Milanzi, baada ya kumfumania akiwa na mwenza wake kwenye nyumba ya kulala wageni.

Kutoka: Habari Star TV Tanzania
 
MKUU HAWA JAMAA SIO KWAMBA HAWANA HISIA KATIKA SUALA LA KIMAPENZI,TATIZO NI KUWA WAMEZOEA KUISHI KWA AMRI NA UTUMWA TOKA KWA VIONGOZI WAO KWA HIYO MUDA MWINGI HUISHI KWA HASIRA NA KUTOKUWA NA MAAMUZI YA BUSARA
 
Wiki tatu zimepita tulisikia tukio la Askari kutoka JWTZ tena COMMANDO, leo tunamsikia huyu wa PT nahisi siku si nyingi tutamsikia kutoka TISS.
 
Back
Top Bottom