Nashangaa Jumuiya ya Kimataifa wanasubiri nini kuhusu Rais Magufuli na utawala wake?

Mi naweza kusema Njaa ni Mbaya sana sana
Hao washabiki leo hii shiling ikigeuka upande wao wanalia
Kunae ndg 1 yuko white house basi ndgye 1 alikuwa akisoma chuo hapa tz chuo kina jina tu bs akawa akimwambia mzee pesa ya mkopo haijatoka nipatie moja 2 anampa basi wakapewa nusu ikapita karibun mwezi hawajapewa pesa ndo anat
stuka kuwa kumbe jombaa ni mpuuzi
hajawapa pesa wadogo hadi mwqnangu
kumbe ikiwa kwa wengine sawa ikiwa kwako roho yakuuma sana
Take lesson from it na usem kiuy
tu uuzima t.
 
Wacha wee kumbe kumkosoa unaachwa?hivi lissu alimtukana?Azory jee?Kina mbowe wanakamatwa washamtukana?acha upuuzi

Usichanganye mambo hapa...hatujadili mambo ya Lissu au Azzory...na Usimhusishe JPM na mambo hayo...sina hakika kaa ukiitwa kutoa ushahidi kuthibitisha unayoyasema hapa ambayo ni mazito kwa kumhusisha JPM na masuala hayo sijui kama kweli unaweza ukathibitisha...watch out Ndugu....
 
Kuna umuhimu wa kuweka interview kujiunga na jf Kuna watu wajinga Sana humu ndani yan akili hakuna kabisa
 
Usichanganye mambo hapa...hatujadili mambo ya Lissu au Azzory...na Usimhusishe JPM na mambo hayo...sina hakika kaa ukiitwa kutoa ushahidi kuthibitisha unayoyasema hapa ambayo ni mazito kwa kumhusisha JPM na masuala hayo sijui kama kweli unaweza ukathibitisha...watch out Ndugu....
Huyu dikteta uchwara anahusika kwa 100%
 
Mpumbavu sana, unafikiri kuna wazungu wenye akili finyu kama zako, we andika hizo barua na sign mpelekee mamako. Ulaya wapo busy na mambo ya msingi na agenda zao nyingine za kishetani.
 
Nashangaa jumuiya ya kimataifa bado wanamuacha huyu kiongozi wetu na serikali yake bila vikwazo???

Nchi inanuka udikteta ukandamizaji ufisadi wa pesa za wafadhili utekaji ubaguzi bado wanamchekea tu?

Huu ni wakati muafaka wa jumuiya ya kimataifa wa kuhangaika naye kwa vikwazo

Awekewe vikwazo kumlenga yeye na viongozi waandamizi anaoshiriki nao jinai hizo

Mfano tu ni kuwa jamaa ana mabilioni ya pesa kayaficha haya ya wafadhili ambazo ndo hizo zinapotea mfano sakata la matrilioni kupotea, Rejea ripoti ya C.A.G

Nadhani huu ni wakati muafaka wa kuanza kudeal na maadui wa demokrasia na utawala bora including huyu wetu

Tunaweza kuanza mkakati nzur tu wa kuwasiliana na jumuiya za kimataifa kuhusu yanayoendelea Tanzania mfano UN wana utaratibu nzuri tu tunaweza kuanza mkakati wa kupitisha saini na barua zitakazomiminika UN na US na donor countries nyingine wajue ukweli waache kuufadhili udikteta...

Sio democracy tu nchi hii inanuka ufisadi wa mtu mmoja
Ndivyo mlivyoo !
Screenshot_20190801-152850.jpeg
 
Kabisa inatakiwa UN ,USA na E U wamshukie kama mwewe wasicheleshe huyu anaelekea kuumiza watu wengine sana na nchi inaenda kudumbukizwa shimoni ,hapana sio shimoni kabulini kabisa .Wanasiasa ,wanaharakati na watu wote wenye mapenzi tuiokoe hii nchi ,usipofanya wewe nani afanye ? Naunga mkono hoja asilimia 100% .

Wewe uliyeleta hii hoja hapa jamvini ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote duniani. Unataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi na kunyimwa misaada?, utapata faida gani?.
Makosa ya Rais wetu ni nini mpaka unaombea hayo mambo ya kishetani yatufikie Tanzania?.
Tanzania ikiwekewa vikwazo, wewe na ndugu zako mtapona?.
Jaribu kuwa mzalendo, hasa kwenye awamu hii ya tano. Mambo yanafanyika na yanaonekana.
Tuwe wakweli ndugu zangu, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Magufuri anapiga kazi na Tanzania mpya inakuja na imeshaanza kuonekana.
 
Nashangaa jumuiya ya kimataifa bado wanamuacha huyu kiongozi wetu na serikali yake bila vikwazo???

Nchi inanuka udikteta ukandamizaji ufisadi wa pesa za wafadhili utekaji ubaguzi bado wanamchekea tu?

Huu ni wakati muafaka wa jumuiya ya kimataifa wa kuhangaika naye kwa vikwazo

Awekewe vikwazo kumlenga yeye na viongozi waandamizi anaoshiriki nao jinai hizo

Mfano tu ni kuwa jamaa ana mabilioni ya pesa kayaficha haya ya wafadhili ambazo ndo hizo zinapotea mfano sakata la matrilioni kupotea, Rejea ripoti ya C.A.G

Nadhani huu ni wakati muafaka wa kuanza kudeal na maadui wa demokrasia na utawala bora including huyu wetu

Tunaweza kuanza mkakati nzur tu wa kuwasiliana na jumuiya za kimataifa kuhusu yanayoendelea Tanzania mfano UN wana utaratibu nzuri tu tunaweza kuanza mkakati wa kupitisha saini na barua zitakazomiminika UN na US na donor countries nyingine wajue ukweli waache kuufadhili udikteta...

Sio democracy tu nchi hii inanuka ufisadi wa mtu mmoja
Pole yako jamii ya kimataifa siyi Mazuzu!
 
Wewe uliyeleta hii hoja hapa jamvini ni mpumbavu kuliko wapumbavu wote duniani. Unataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi na kunyimwa misaada?, utapata faida gani?.
Makosa ya Raisi wetu ni nini mpaka unaombea hayo mambo ya kishetani yatufikie Tanzania?.
Tanzania ikiwekewa vikwazo, wewe na ndugu zako mtapona?.
Jaribu kuwa mzalendo, hasa kwenye awamu hii ya tano. Mambo yanafanyika na yanaonekana.
Tuwe wakweli ndugu zangu, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Magufuri anapiga kazi na Tanzania mpya inakuja na imeshaanza kuonekana.
Sawa kabisa Kidatu. Watu waliokuwa wanategemea madeal kuishi ndio hao wanaolalamika. Bila aibu wanaona kuishi kwa madeal ilikuwa sahihi. No way kila mtu atakula kwa kufanya kazi. Kila mtu atapata riziki kulingana na kazi anayofany Period!
 
Mpumbavu sana, unafikiri kuna wazungu wenye akili finyu kama zako, we andika hizo barua na sign mpelekee mamako. Ulaya wapo busy na mambo ya msingi na agenda zao nyingine za kishetani.
Huna akili kbs ww
 
Kabisa inatakiwa UN ,USA na E U wamshukie kama mwewe wasicheleshe huyu anaelekea kuumiza watu wengine sana na nchi inaenda kudumbukizwa shimoni ,hapana sio shimoni kabulini kabisa .Wanasiasa ,wanaharakati na watu wote wenye mapenzi tuiokoe hii nchi ,usipofanya wewe nani afanye ? Naunga mkono hoja asilimia 100% .
Kweli kbs
 
Dah wewe ni mtu wa ajabu kabisa...Vikwazo vikiwekwa wewe utafaidika na nini? Halafu ni udikteta upi unaouzungumzia hapa Tanzania? Kama fedha zimeliwa waliozila fedha hizo ni wazungu wenyewe..Uliona ile issue ya radar iliyomhusisha kiongozi mmoja miaka michache iliyopita?? Wazungu walifanya nini??!! Hawakufanya kitu kwa kuwa wazungu wenyewe ndio waliokuwa wammetoa rushwa ..Hakuna rushwa Tanzania na kamma ipo wazungu wenyewe ndio wanaotoa rushwa...JPM is doing wonders here....Kiongozi huyu alipaswa aingie madarakani baada ya Mwinyi...Tanzania tumepoteza miaka mingi sana...
Vikwazo vikiwekwa nitafurahi maana atashika adabu ataacha udikteta,ufisadi,kuteka na kuua watu
 
Bashite katika ubora wako

Sasa umemtaja nani!!!?

Eboooooooo kiwewe kimeanza wapanda.. ha ha haaaaaaaaa zile dk 15 mlipata kwishnei 🤣🤣🤣🤣🤣💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽

Magufuli 2020 💯💯💯💯💯💯💛💚💛💚💛

Leo ni leo ooooooooooo
 
Back
Top Bottom