Nashaka sana na usalama wa maisha ya samwel sitta

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Nakumbuka miaka ya nyuma i mean mwaka jana kipindi fulani huko bungeni Spika S.SITTA aliomba aongezewe ulizi kwa ajili ya usalama wake sasa kwa kamati ta CC kutompitisha kuwa spika na hii yote inamwondolea ule Ulinzi wake alio uomba na hali ile ya kutilia shaka maisha yake na mpaka kuomba ulizi uongezwe ndio sasa inakuwa njia nyepesi ya kumpoteza Sitta any time kwani walisha mtoa madaraka yake makubwa nae ni mbunge wa kawaida sasa. Wale maadui alio wahisi sasa ndio wananafasi hiyo.

Na la pili natilia shaka ni pale Sitta atakapo pewa cheo na kukikataa ndipo hapo itakuwa mbaya zaidi kwani kipindi cha Uspika wake aliyajua mambo mengi sana ya serikali ambayo ni mazito sana, na CCM ilivyo na viongozi wa ajabu yana weza tokea mengi ya ajabu sana sana sana usalama wa maisha ya Samweli Sitta.

He has been in the system long enough to know how to play the game! He will have to take care of himself.
 
Do you remember Rate Mr.Kombe he was killed by police in Moshi na yeye alikuwa afisa usalama mkuu mstaafu wa Tanzania iweje yeye Sitta????

Wana JF,

Nakumbuka miaka ya nyuma i mean mwaka jana kipindi fulani huko bungeni Spika S.SITTA aliomba aongezewe ulizi kwa ajili ya usalama wake sasa kwa kamati ta CC kutompitisha kuwa spika na hii yote inamwondolea ule Ulinzi wake alio uomba na hali ile ya kutilia shaka maisha yake na mpaka kuomba ulizi uongezwe ndio sasa inakuwa njia nyepesi ya kumpoteza Sitta any time kwani walisha mtoa madaraka yake makubwa nae ni mbunge wa kawaida sasa. Wale maadui alio wahisi sasa ndio wananafasi hiyo.

Na la pili natilia shaka ni pale Sitta atakapo pewa cheo na kukikataa ndipo hapo itakuwa mbaya zaidi kwani kipindi cha Uspika wake aliyajua mambo mengi sana ya serikali ambayo ni mazito sana, na CCM ilivyo na viongozi wa ajabu yana weza tokea mengi ya ajabu sana sana sana usalama wa maisha ya Samweli Sitta.

Hamna chochote!
 
Nani anasema kwamba hakuna namna ya kuzuia KIFO kisimkodolee macho mpendwa wa pili wa raia, Ndg Samuel Sitta. Katika kila jambo hua kuna mlango wa pili wa kutokea.

Ni kweli kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba mpaka sasa listi ya CCM kuhusu watu gani wauawe ikawa ni ndefu ajabu zaidi hata hilo jina la Mh Sitta. Kwani hivi ndivyo Serikali zote zinazoongoza bila ridhaa ya watu wake hufanya hivyo kote duniani.

Lakini taarifa tu, ingawaje huenda hata serikali yenyewe isiweze kutambua kiurahisi, idadi ya vyombo vya dola za Jumuia ya kimataifa wamezagaa kila kona ya Tanzania mpaka dakika hii. Haya yote yanayosemekana kuhusu Sitta na nyingine nyingi zinaendelea kukusanywa.

Kwa lugha nyingine, Sitta huenda akawa salama zaidi kuliko hata wale walioko ikulu kwa dakika hii. Watu wamekasirishwa na hisia za ajabu kutokana na uchaguzi huu hakuna mfano wake. Hadi sasa watu wanatafuta tu wapi pa kukatishia kamba. Watch this space ...!!!
 
Sitta akatae cheo? Si rahisi - he belongs to the system.
 
Do you remember Rate Mr.Kombe he was killed by police in Moshi na yeye alikuwa afisa usalama mkuu mstaafu wa Tanzania iweje yeye Sitta????

Haroo mura amang'ana. Kweri rimajaa waririmariza kama masihara vire.

Mkuu sina hakika kama hapo uliamua kuchapia makusudi au keyboard iliteleza kwenye vidole...sijui vidole viliteleza kwenye keyboard......just saying.
 
Nani anasema kwamba hakuna namna ya kuzuia KIFO kisimkodolee macho mpendwa wa pili wa raia, Ndg Samuel Sitta. Katika kila jambo hua kuna mlango wa pili wa kutokea.

Ni kweli kuna uwezekano mkubwa kabisa kwamba mpaka sasa listi ya CCM kuhusu watu gani wauawe ikawa ni ndefu ajabu zaidi hata hilo jina la Mh Sitta. Kwani hivi ndivyo Serikali zote zinazoongoza bila ridhaa ya watu wake hufanya hivyo kote duniani.

Lakini taarifa tu, ingawaje huenda hata serikali yenyewe isiweze kutambua kiurahisi, idadi ya vyombo vya dola za Jumuia ya kimataifa wamezagaa kila kona ya Tanzania mpaka dakika hii. Haya yote yanayosemekana kuhusu Sitta na nyingine nyingi zinaendelea kukusanywa.

Kwa lugha nyingine, Sitta huenda akawa salama zaidi kuliko hata wale walioko ikulu kwa dakika hii. Watu wamekasirishwa na hisia za ajabu kutokana na uchaguzi huu hakuna mfano wake. Hadi sasa watu wanatafuta tu wapi pa kukatishia kamba. Watch this space ...!!!
hao
jumuia yaa kimataifa na kina nani? Hivi ni kweli uliyoongea hapo kaka? Mmm JF raha
 
Back
Top Bottom