Nash MC Temeke Show

Nasikia uliolewa mombasa qchila na jimama la wanabeber,

Hii saa ilipoteza majira rudi kwenye msatiri

Nash mc said kubenea kwa hizi habari namwagiwa tindi kali,

Mpaka serikali inadai nawaonea ,

Mimi mwanahalisi sitishiki naongea.

Nash Mc--Saa mbovu
 
Naona Deo Kisandu leo kaja kwa jina lingine. Anachapia comment za mwendokasi aisee.
 
Niponde nisiponde? Maalim Ponda...
Maalim Ponda aka Nash dagama saizi kawa rubani angani.

Anapanda mwewe kila iitwayo leo,Habari utazipatia Berlin,
Cologne, Ug Kampala.Juzi nilimsikia
Clouds fm sports Extra anachambua kwa uzuri kabisa kandanda huku akiichambua Bayern Munichen kwa marefu na mapana.

Mpishi Mkuu..
 
Kutokana na safari zake za Ujerumani huwa namuita Nash Heinz-Rumenigge...
Anawakilisha vema tasnia.
 
soundtrack kwa Hip Hop sijavunja Miiko/ nipo nimezaliwa kua hapa apa kwene kinasa nawaasa wasanii
 
Back
Top Bottom