Nash Mc, Moko (One Incredible), Big Boy Stereo na Niki Mbishi ni Noma

Karata

JF-Expert Member
May 1, 2011
354
147
Wakuu, hawa vijana ni hazina ya Taifa, hivi mshawahi kuwasilikiliza na michano yao ya hatari? Mimi binafsi nawafananisha na MaMc walipita kama Kwanza Unit (Kwanzania), Imam Abas, Traveller mtoto wa Mbagala. Hawa madogo ni noma, kama wangekuwa wamezaliwa USA, wangekwishakuwa................................

Ebu sikza hizi pini Nash mc & P the mc ft One(incredible) & Stereo-TUNAIZINDUA MITAA - YouTube , http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=jPYrVIdYlx8 , http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=BviyJ6jfd2Q, http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=ZpZH1y36BzM
 
Kwa dunia ya sasa real hiphop haina soko kubwa sana. Hata iwe ni USA au Popote pale,soko lake sio imara sana kama Commercial hiphop.
Na hata muziki kwa sasa hivi unaweza kuona namna Auto tune inavyochukua nafasi.
 
Nash Mc anaandika na analijua game la hip hop!nikki mbishi mkali nae wa mashairi ila awe makini apunguze ujuaji hili game lina top guns!asitake kuvimbiana nao
 
They're so real, can't get tired listenin to their lyrics!
 
Hawa majamaa ni noma wanatokea M-lab(Except p ze mc na nash mc ambao wao wapo kwa palla)..
P ze Mc kaachia ngoma yake mpya kafanya sample ya remmy ongala fadhili ni utumwa..
Na Mlab wanangoma mpya inaitwa M-peckable umo wanaflow ngeli tupu..yoo
 
Nash mc hii ni barua pepe kutoka kwangu-waraka huu

"Nash tumesikia huna hata kitanda/
kivipi unatuimbia kwamba unapiga pamba/

Unajishau kwa promo za mwezi/
Piga chini fani mjomba kama huwezi/

Nash mc- mc gani unalala..?
 
Haya Maisha ni safari ila hili gari ni bovu/

Hii hali hatari
Serikali ina uovu/

dereva mkali ilihali kipofu ila mwisho ni jeneza Ndio mahala pawakovu/

One incredible!! Moko.
 
"Au sababu Mimi wa bara wewe unatoka pwani ndio maana unaniona fala wakati wa mambo flani"

"AU Sijui mahaba kitandani sikuridhishi"

Nikki/Zohan/kichwachambuzi
 
"Kivipi nikki wa pili,na wa kwanza hajulikani"


Goodboy na badman mitaani niaje ni vipi.

-Mbishi.
 
"Amukeni mkajenga Taifa mpandishe uchumi umeshuka"


Wanafurahia amani ilala, temeke kutwa bastola.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom