Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
Nini asichoeleweka ?wewe ndie hujaelewa au haupo TanzaniaMbona hueleweki?
mtoto wa mkulima ni msukule tuu hana lolote!kama kusoma huwezi hata picha huoni?
Nini asichoeleweka ?wewe ndie hujaelewa au haupo Tanzania
mtoto wa mkulima ni msukule tuu hana lolote!
Sio haelewi. Bali hataki kuelewa. Pia ni BICHWA GUMU! Ilo GX G8 tena ni Shirika la Umma SU a.k.a Soma Ule.
Kama kusoma huwezi hata picha huoni?
hata mimi nimemgongea senksi.nimekugongea senksi,
senks..
Huyu huyu bichwa gumu kesho utamkuta anadandia mada nyingine bila hata haya!
Nini asichoeleweka ?wewe ndie hujaelewa au haupo Tanzania
Haya ya kujiita mtoto wa mkulima ni unafiki mtupu kama tulivyo watanzania wengi
Nasema sitaki hata kuona asema mtoto wa mkulima.
je, mbona hakemei kuagiziwa kwa viongozi wengine?