Nasema sitaki hata kuona

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,835
630
Nasema sitaki hata kuona asema mtoto wa mkulima.
je, mbona hakemei kuagiziwa kwa viongozi wengine?
 

Attachments

  • Photo-0042.jpg
    Photo-0042.jpg
    269.3 KB · Views: 611
Sio haelewi. Bali hataki kuelewa. Pia ni BICHWA GUMU! Ilo GX G8 tena ni Shirika la Umma SU a.k.a Soma Ule.
 
Kama kusoma huwezi hata picha huoni?

mnajadiri kwa hasira na jazba, kiumbukeni kuwa magari ya su hayanunuliwi na wizara ya ujenzi(miundombinu). Mtoto wa mkulima aloizungumzia magari ya serikali ambayo hunuliwa na wizara husika. Su hufanya maamuzi yao wenyewe. Punguza jazba.
 
Hana lolote mbabaishaji tu kama anajua ni matumizi mabaya ya pesa za serikali yeye kama waziri mkuu alipashwa kukemea. Kuna mazingaombwe yapo Tz. sometimes unafikiri kama ni sayari nyingine
 
senks..
Huyu huyu bichwa gumu kesho utamkuta anadandia mada nyingine bila hata haya!

usifikiri na kujadiri hoja kwa kutiumia downstairs, unapaswa kujua limit za amri za pm, su hufanya maamuzi yao wenyewe. Pm alizungumzia magari yanayonunuliwa na gvt. Sitakushangaa kesho ukiona hammer ya kinje ukaimulika kisha ukatuletea janvini ati tumjadiri mtoto wa mkulima kwa vile nchini kuna magari ya kifahari. Try to be a great thinker.
 
Nini asichoeleweka ?wewe ndie hujaelewa au haupo Tanzania

niambie kuna uhusiano gani kati ya gxv8 la su na pm. Kwa akili yako serikali ndo inanunua magari ya su?!!!!!: nadhani hapa ulikuwa unaongeza idadi ya post. Next time try to reason before you mouthoff.
 


Anavyo kataa hayo ma v8 alafu ang'eng'ania kupanda Pajero au Escudo tungemwelewa lakini anakataa v8 alafu anapanda VX
 
Haya ya kujiita mtoto wa mkulima ni unafiki mtupu kama tulivyo watanzania wengi
 
[QUOTE=Gama;kumbukeni kuwa magari ya su hayanunuliwi na wizara ya ujenzi(miundombinu). Su hufanya maamuzi yao wenyewe.

SU maanake nini? Si Shirika la Umma? Ivyo jombii serikali nayo ina mkono wake,kwani mashirika ya umma yanapewa ruzuku na serikali. Kwaiyo ununuzi wa hayo ma VX/GX bado unaiumiza serikali,hata kama hayo mashirika yanafanya maamuzi yenyewe. Ingekua yanajitegemea 100% basi suala la richmond na dowans lisingepigiwa kelele na wananchi (wananchi wanapiga kelele kwa vile pesa ya serikali inatumika hovyo). Pia jombii kumbuka tunalipa kodi na malipo kupata huduma katika mashirika hayo,ivyo unapaswa kuwa na uchungu wa pesa yako,uone inatumika kwa maendeleo ya mashirika hayo,na si anasa. Ungesema DFP ningekuelewa kwani hayo yananunuliwa na pesa za miradi za WAKUBWA,kama anavyoitaga rais wenu!
 
Wallah haya madude inabidi tuyafanye dili-vijana waanze kuyapora! au tukikuta limepakiwa ovyo tunatia kiberiti!...Hawa jamaa was.ng sana, utakuta ametembelea shule ya kata kibirung'oma na kutoa mchango wa mifuko 100 mya cement..na kunadi sirikali haina fwezaaaaaaa.....nji yetu masikiniiiiii...kumbe ni ufirauni urafi mbwembwe za mat.ko kukosa uwajibikaji na ufinyu wa akili zao kuweka vipaumbele kijamaa! kudadadadeki...MTOTO WA MKULIMA HANA LOLOTE.
 
Haya ya kujiita mtoto wa mkulima ni unafiki mtupu kama tulivyo watanzania wengi

Bora umejijua kuwa ni mnafiki na baadhi yao,lakini mimi siwezi kuwa mnafiki hata kidogo kwani unafiki ni tawi la shetani ambapo shina lake lipo motoni!
 
Nasema sitaki hata kuona asema mtoto wa mkulima.
je, mbona hakemei kuagiziwa kwa viongozi wengine?


Pinda hana lolote, yeye ni bingwa wa kulia lia tu, hawezi kuchukua hatua zozote, mie sina matumaini naye kabisa. Hii miaka mitano nayo tumeiuza tu, Presidenti mcheza disko, Makamu wake ndio kwanza anaanza kurudisha afya baada ya kutetereka kwa miaka kadhaa, PM ndio huyo mzee wa kulia na kulalamika matumizi makubwa ya serikali, SASA KAMA WAZIRI MKUU ANALALAMIKA NA HACHUKUI HATUA SIE WA HUKU CHINI TUFANYEJE?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom