Nasari aliwahi kuzungumzia yaliyomkuta Godbless Lema?

Fasir

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
222
270
Wakuu
Hivi Nassari ameshawahi kuzungumzia yanayomkuta Lema... Ameshawahi hata kumtembelea gerezani?
 
Amtembelee kwani yeye mkewake?
Ajabu......au nasari ndo alimuotesha ile ndoto.
kila mtu abebe msalaba wake ebo.
Kubenea nae yupo nje ya nchi ndio maana hasikiki au kaishiwa pumzi tu?

Nasari hawez kwenda muona lema hata siku moja muache lema atoshe alijifanya sana

Wakuu
Hivi Nassari ameshawahi kuzungumzia yanayomkuta Lema... Ameshawahi hata kumtembelea gerezani?
 
Kubenea nae yupo nje ya nchi ndio maana hasikiki au kaishiwa pumzi tu?

kama mamlaka yanatumika kukandamiza wenye mawazo mbadala ulitegemea nini? katika mazingara ya mwenye mamlaka kutosikiliza hata wa chama chake unategemea nini kwa mpinzani.
 
Back
Top Bottom