CR wa PROB
Senior Member
- Sep 21, 2011
- 170
- 29
Awali ya yote nipende kushukuru uongozi mzima wa CHADEMA kwa kusimamisha mgombea ambaye anaonekana ni makini na mahiri sana kwa maslahi ya Wanaigunga na watanzania wote kiujumla. Kiukweli sisi wazalendo wa Kitanzania tumeichoka saaaaaaaaaana CCM hivyo basi fanyeni mfanyavyo ili muweze kulichukua jimbo la Igunga.
Lakini tambueni ya kwamba ujanja ni kuwahi bali sio kutangulia na siasa ni mchezo mchafu wenye fitina za kila aina. Hivyo basi nipende kuchukua fursa hii kuwashauri kuwa kabla uchaguzi haujafanyika karatasi zote za kupigia kura zifanyiwe uchunguzi ili kuepukana na zile kura za moto ambazo mahasimu wenu wa CCM huwa wanazitumia wanapogundua ya kwamba upepo unavuma vibaya.
Kutokana na taarifa zisizokuwa rasimi ni kwamba kura hizi ndizo zilizotumika kuivua madaraka iliyokuwa ikijulikana kama ngome ya CUF pale Temeke, na kumfanya aliyekuwa mwenyekiti wao atake kwenda Egypt na South Africa kuzifanyia uchunguzi ila ghafla kapewa mlungula wa kwenda kufanya shughuli maalumu huko umoja wa mataifa (UN) na kumsahaulisha kila kitu.
Mimi kama kijana mzalendo wa Kitanzania nitaumia sana kusikia ya kwamba kura zimechakachuliwa kwa njai yoyote ile, Hivyo basi naombeni sana muweze kuwa makini na kura za moto.
NDUGUZANGUNI WANAIGUNGA TANZANIA INAHITAJI KIONGOZI JASIRI SANA,AMBAYE ATAFANYA KAZI KWA MASLAHI YA WANAIGUNGA PAMOJA NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA, NA KIONGOZI HUYO HAWEZI KUTOKA CCM HATA SIKU MOJA. Hivyo basi ni muda wenu muafaka wa kwenda kuiangusha CCM.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WANAIGUNGA WOTE UWAPE MOYO WA KUPIGA KURA.